Ushauri Kwa Wanaume Tu! Je Ushaisikia Tiba Hii?

Michael Scofield

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
1,225
471
Huyu Doctor Mwisho Sijapata Kuona.
Kumbe kujichua Nayo Ni Tiba?
Funguka nacho kisa hiki:

Kuna brother wangu ametoka kijijini kama miezi miwili nipo nae Town, Kabla ya hapo hajawahi kuwa mbali na familia yake hata siku mmoja.

Sasa hivi majuzi akaanza kusumbuliwa na maradhi, mara tumbo, mara kichomi, mara misuli imebana...! itena hali ikachange ghafla akawa anadai anasikia maumivu makali sana yanaanzia chini ya kitovu yanashuka mpaka kwenye makende.
Tukamuwahisha hospital, akafanyiwa vipimo hamna kitu, kila dawa akipewa haimsaidii ndio kwanza ugonjwa kama unaanza upya bro analalamika, madaktari wakawa wamechanyikiwa.

Akaja Daktari mmoja, mtu mzima. umri umekwenda, akamuuliza mgonjwa jinsi gani alivyoanza kuumwa, na kama ni hali ya kawaida, mgonjwa akasema ajawahi kuugua kwa jinsi anavyojisikia. Daktari akamuuliza mambo mengi tu, historia yake na mengine niliona kama ni upuuzi.
Akanambia nimchukue mgonjwa nimpeleke bafuni, mara yeye akaja namafuta akamwambia mgonjwa apige punyeto!
Mie na mgonjwa tunashangaa! Daktari yuko serious anamaanisha anachokiongea. Mgonjwa hana jinsi ikamlazimu kufanya kile Daktari alichokisema. Bahada ya kutoa manii, Daktari akamwambia mgonjwa akapumzike aje apige tena Nyeto.

Bahada ya masaa kama manne mgonjwa akaanza kusikia nafuu, ile hali imeachia na maumivu ya misuli katika mapaja inapungua.
Daktari akamwambia mgonjwa ahakikishe mpaka asubuhi ashatoa goli tano.
Ndugu zangu kunakucha mgonjwa mzima narudi nae nyumbani, Bro aibu imemshika ukichulia age yeye ana miaka 58 na mimi dogo 30, Ila bro ni mtu wa mkeka sana, sasa tangu aingie mjini hata kariakoo ajafika, yeye kajifungia getini.

Maelezo ya Daktari kuhusu ugonjwa uliokuwa unamsumbua bro sitaweza kuyaweka hapa, ila kikubwa bro zilimjaa ndio maana zikamtia ugonjwa.

Ndio na mimi nauliza kumbe zikizidi ni ugonjwa?

N:B
Ni hali iliyomtokea rafiki yangu
 
mhhhh duh Tiba nyingine zinahitaji ujasiri kuamini na kuzifanyia kazi, make tunaambiwa kupiga nyeto ni noma
 
kwa hiyo una mpango gani endelevu wa kumsaidia kumwepusha na recurrence ya huo ugonjwa wake hapa mjini?
 
Kwa hapa town sina cha kumsaidia kwanza bro kaniacha mbali sana kiumri, ni sawa na mzazi hauwezi mwambia aende walau Sudan au Kimboka akachukue wa shaa shaa, Pili bro mtu wa mkeka kwanza nilirahisisha stori kumkubalia Daktari ilikuwa mbinde sema ni mtu mzima mwenzake walielewana.
 
Zikizidi ni balaa mana zinakufanya kama mwehu vile.
Sure mtu wangu!

quote_icon.png
By cartura
kwa hiyo una mpango gani endelevu wa kumsaidia kumwepusha na recurrence ya huo ugonjwa wake hapa mjini?
Kumsaidia ni yeye kurudi kijijini kwa mke wake!
 
In fact Dactari yuko sawa jamaako alikuwa na stress za mapenzi ,stress zinasabisha maumivu ya tumbo, uchovu ,kupiga punyeto kunasababisha secretion ya serotinin ambayo ni mood control au brain regulation ina reduce stress sometime inaondoa kabisa
 
nimejfunza k2 cz hali ka hyo huwa inanisumbua sana na tangu kuzaliwa kwangu cmjui mcchana!
 
Huyu Doctor Mwisho Sijapata Kuona.
Kumbe kujichua Nayo Ni Tiba?
Funguka nacho kisa hiki:

Kuna brother wangu ametoka kijijini kama miezi miwili nipo nae Town, Kabla ya hapo hajawahi kuwa mbali na familia yake hata siku mmoja.

Sasa hivi majuzi akaanza kusumbuliwa na maradhi, mara tumbo, mara kichomi, mara misuli imebana...! itena hali ikachange ghafla akawa anadai anasikia maumivu makali sana yanaanzia chini ya kitovu yanashuka mpaka kwenye makende.
Tukamuwahisha hospital, akafanyiwa vipimo hamna kitu, kila dawa akipewa haimsaidii ndio kwanza ugonjwa kama unaanza upya bro analalamika, madaktari wakawa wamechanyikiwa.

Akaja Daktari mmoja, mtu mzima. umri umekwenda, akamuuliza mgonjwa jinsi gani alivyoanza kuumwa, na kama ni hali ya kawaida, mgonjwa akasema ajawahi kuugua kwa jinsi anavyojisikia. Daktari akamuuliza mambo mengi tu, historia yake na mengine niliona kama ni upuuzi.
Akanambia nimchukue mgonjwa nimpeleke bafuni, mara yeye akaja namafuta akamwambia mgonjwa apige punyeto!
Mie na mgonjwa tunashangaa! Daktari yuko serious anamaanisha anachokiongea. Mgonjwa hana jinsi ikamlazimu kufanya kile Daktari alichokisema. Bahada ya kutoa manii, Daktari akamwambia mgonjwa akapumzike aje apige tena Nyeto.

Bahada ya masaa kama manne mgonjwa akaanza kusikia nafuu, ile hali imeachia na maumivu ya misuli katika mapaja inapungua.
Daktari akamwambia mgonjwa ahakikishe mpaka asubuhi ashatoa goli tano.
Ndugu zangu kunakucha mgonjwa mzima narudi nae nyumbani, Bro aibu imemshika ukichulia age yeye ana miaka 58 na mimi dogo 30, Ila bro ni mtu wa mkeka sana, sasa tangu aingie mjini hata kariakoo ajafika, yeye kajifungia getini.

Maelezo ya Daktari kuhusu ugonjwa uliokuwa unamsumbua bro sitaweza kuyaweka hapa, ila kikubwa bro zilimjaa ndio maana zikamtia ugonjwa.

Ndio na mimi nauliza kumbe zikizidi ni ugonjwa?

N:B
Ni hali iliyomtokea rafiki yangu

What happens when u don't have a wife!!{see attached foto evidence}
 
Attachments

  • What happens when u don't have a wife!!.jpg
    What happens when u don't have a wife!!.jpg
    76.3 KB · Views: 94
Back
Top Bottom