Ushauri kwa wanaotaka kuoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri kwa wanaotaka kuoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MZIMU, Jun 10, 2011.

 1. MZIMU

  MZIMU JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 4,080
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  je wewe ni kijana ambae umefikia umri wa kuoa?. Kama jibu ni ndio kabla hauja chagua mchumba, zinga tia mambo ya fuatayo.
  1.kabla ya kuoa, unatakiwa uwe na shughuli yoyote halali, ambayo itakua inakuingizia kipato.
  Umuhimu wa hili nadhani upo wazi sana, bila kua na kipato huwezi kujitegemea. Kujitegemea ni kufanya kazi ya halali na kuweza kupata mahitaji ya lazima kwa binadamu( chakula, malazi na mavazi), mahitaji muhimu(afya na elimu) na mahitaji ya ziada( simu na gari).

  2.usije ukafikia uamuzi wa kuoa, kwa sababu unahamu ya kufanya ngono. Mara nyingi sana vijana huamua kuchukua uamuuzi huu mgumu ili aweze kujiridhisha kingono na mwanamke flani ambae kwa wakati huo amemtamani sana kufanya nae ngiono, lakini mazingira ya kumpata yana masharati ya ndoa. Hivyo kijana ana amua kuao ili akaridhishe hamu yake ngono.
  Madhara ya hili, hamu itakopo isha, na kuona kua mkewe ni mwanamke wa kawaida kama wana wake wengine, na ikatokea mwanamke mwengine zaidi yake, hapo matatizo, ndoa huvunjika ilihali, msha zaa watoto.

  3. kabla ya kuchagua mchumba, lazima ujue sifa za mwanamke unae taka awe mke wako, na mama wa watoto wako. Zianishe sifa hizo wewe mwenyewe au kwa ushauri wa watu wenye hekima, na uzijue sifa hizo kwa moyo. Kwa hiyo mwanamke yoyote atake jitokeza au kukuvutia, lazima ulinganishe na sifa unazo zitaka.
  Inabidi uwemakini na hilo. Utakutana na wanawake mtaani kwenu, shuleni au kazini. Nilazima uhakikishe kua mwanamke huyo ana sifa unazo zitaka na sio vinginevyo,Kama ushawishi wa marafiki, au ushawishi wa mwanamke mwenyewe au vinginevyo.
  Ukikosea hapa, utakuja kujuta wakati
  "it is too late"
   
 2. LD

  LD JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Sawa sawa kabisa, na sisi tunaotaka kuolewa tufanye hivyo hivyo? Au tuwasubiri wanaotaka kuoa waje.
   
 3. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  soma kipengele cha tatu!
   
 4. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Mkulu nimeikubali point no3 umelenga mule mule panaponisumbua lakin thank GOD leo unenikumbusha !
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  point noted
  thanks.
   
 6. Kichwa cha panz

  Kichwa cha panz Senior Member

  #6
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 132
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35

  Jirani darasa zuri sana je una experience na kada hiii nini au yalikukuta?
   
 7. fikirini

  fikirini Senior Member

  #7
  Jun 10, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nitajitahidi, asante kwa ujumbe. ila tukumbuke, sifa/wasifu za mtu hubadilika siku hadi siku. hivyo tusisahau kumshirikisha aliyetuumba na kutuleta hapa duniani kwake. amen
   
 8. jockey emmanuel

  jockey emmanuel JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  thnx 4 da aDVICE
   
 9. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,354
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Nimekupata MZIMU, ila nachoomba kama utaweza kututolea mifano ya sifa za mwanamke ninayemtaka kwa kifupi lakini, sijui kama umenipata?
  Kwa ujumla tupo pamoja mkuu!
   
 10. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #10
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,674
  Trophy Points: 280
  Thead yako imeenda shule mkuu hongera,lakini humu watu hawapendi mambo ya msingi kama haya ndo maana hawachangii,hebu angalia zile thread za ajabuajabu,utachoka!
   
 11. MZIMU

  MZIMU JF-Expert Member

  #11
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 4,080
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  hata kwanyinyi waolewaji, pia kuna vigezo vya kuzingatia kabla ya kukubali kuolewa tu, wengi wenu kutokana na ukali wa maisha. lakini hilo tutaliongelea kwa kirefu. Hivi karibuni.
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  Jun 11, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ushauri mzuri...zingatieni!
   
 13. MZIMU

  MZIMU JF-Expert Member

  #13
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 4,080
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  kaka mimi nimefanya utafiti wa kutosha katika hilo. Hasa point no. 3 ndipo watu hukosea. Hufanya papara.
   
 14. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #14
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  yan nimekupata kabisa yan unachokisema ni kwel kabisa yan yan kwel kabisaaa
   
 15. s

  shoshte Senior Member

  #15
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umesema ukweli ila tusiahau kumshirikisha Mungu kwa hilo
   
 16. MZIMU

  MZIMU JF-Expert Member

  #16
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 4,080
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  papa mopao. Binadamu tupo tofauti sana. Kwahiyo sifa mwanamke wa kuoa pia ziko tofauti. Haziko general. Ni very specific. Lazima uziangalie kwa jicho la rohoni.
  Ushauri wangu hapa,
  skip the obvious. Angalia zile ambazo yeye mwenyewe, au watu wengine hawazipi attention. Those are real characters. Their are inborn, not reharsed.
  hapo sina ushauri kwani inategemea na wewe mungu alivyo kuumba.
   
 17. MZIMU

  MZIMU JF-Expert Member

  #17
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 4,080
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  te

  shost, kimsingi, the almighty God alisha maliza kazi yake kwa wanadamu. Ndio maana tuta kwenda mpaka mwezini. It is just a matter of using reasoning.
   
 18. delabuta

  delabuta Senior Member

  #18
  Jun 13, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante mkuu ushauri wako ni mzuri na wa kweli.
   
 19. yatima

  yatima JF-Expert Member

  #19
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 354
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ubarikiwe kwa mafundisho mazuri - laiti ungefanya "seminar" kwa vijana wetu
   
 20. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #20
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Wapi wanachaguliwa hao wachumba?
   
Loading...