hassan mdidi
JF-Expert Member
- Apr 13, 2014
- 421
- 167
Allah Akujaalie Swaumu Maqbuulngoja nifuturu ntakuja baadae
asante mkuu umeongea logic
you are not serious mkuu.umekisoma hiki ulichokiandika?Bora ufanye ivyo kushauri awa vijana. Sio unaenda kusoma kuendesha ndege na wakati hata Gari ujui kuendesha na pesa yenyewe ya kuunga unga ni bora usome kozi kama electric engineering ambayo unaweza ukajiajiri
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] wakikusikia wenyeweBora ufanye ivyo kushauri awa vijana. Sio unaenda kusoma kuendesha ndege na wakati hata Gari ujui kuendesha na pesa yenyewe ya kuunga unga ni bora usome kozi kama electric engineering ambayo unaweza ukajiajiri