Ushauri kwa wanandoa

Mhhh haka mwenzangu mie kupigwa hapana tushauriane tukiwa wote sie ni watu wazima.
 
Yaani umpige Mke wako uliyemtolea mahari mara moja tu kwa mwezi?

Are you serious?

Utaachaje kumweka mkeo ngeu kila wiki?

Wewe ni mwanaume wa dar bila shaka.

Kure kwetu Taarime usipompiga mwanamke vizuri anaenda kukushitaki ukweni Mura.

Jitahidi saana kumpigha mama.

Vita ni Vita Mura.
 
Kwanini wasiseme tuwapige wanaume vibao, mi mwanaume atakayenipiga hata kibao kutachimbika yani atanitambua
 
Muraaaa nikutebiije. Hiii kitu ukipga daily, utaharibi reception.

Piga kidgo kwa morale
 
Aisee Mimi sijwahi ona baba yangu akimpiga mama. Na hata wakigombana baba mara nyingi ukaa kimya au kwenda kulala. Namimi nafata road hiyo hiyo, siwezi kumpiga mama watoto.

That's my promise Vai

-callmeGhost
 
Angalia usije ukataka ugomvi haraf huna nguvu
Wee mi na mi nguvu balaa hafu mi siwezi kuwa na mwanaume asijielewa nikishamsoma saikolojia yake na mambo yake ka haeleweki namkimbia, sasa had huko kudundana hakunikuti hata kwa dawa
 
Wee mi na mi nguvu balaa hafu mi siwezi kuwa na mwanaume asijielewa nikishamsoma saikolojia yake na mambo yake ka haeleweki namkimbia, sasa had huko kudundana hakunikuti hata kwa dawa
Unaweza unajion nguvu kwa wanawake wenzio, bt kwa wanaume noooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…