Ushauri (KWA WANALINDI NA MTWARA) tu

Ushauri (KWA WANALINDI NA MTWARA) tu

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,292
Reaction score
6,768
Kuna wenzetu wamepoteza maisha katika kudai haki za
wanakusini kwa ujumla.

Nguvu ileile itumike kukusanya michango kama kifuta jasho ili kuzisaidia familia zao. Tukianzia na yule
shujaa wa kwanza Kutoka MIHAMBWE ambaye alikufa kutokana na ajali iliyotokea Mtwara wakati
wakielekea kwenye mkutano wa GAS WAR, pia waleNdugu zetu wa Masasi ambao nao walikufa katika
kupambana ili kuonyesha hisia zao juu ya sakata la Gesi.

Hizi ni njia nzuri za kuwaenzi ndugu zetu. Ikishakuwa tayari naomba nipatiwe namba ya kutuma huo mchango.

naunga mkono hoja ila kwanini hadi sasa hawajaua hata polisi mmoja?
 
Wewe unaishi DAR. Ungekuwa Mtwara, 100% ww ni miongoni ya wanaopinga dhuluma. "Wana Mtwara Gas kwanza uhai baadae". Kuwa mwana Mtwara pingana na dhuluma, uhai sio kitu, ukiwa kama serikali utadhalilika, sababu unaemdhurumu kila kunapokucha anakuwa na kitu kipya na kizuri zaidi ya jana. Tuache dhuluma kaka tutaumbuka.
 
Niko kotekote kwani maandamano ya kwanza niliwahi yale ya pili sikuyawahi
wakati watu walianzia Mtawanya mimi nilianzia MDENGANAMADI ambako nilienda
kusalimia kwanza.
 
naunga mkono hoja ila kwanini hadi sasa hawajaua hata polisi mmoja?
Halikuwa lengo mkuu, lakini kule kuteketezwa mali zao kama
nyumba n.k kutawapa akili ya kutafakari mara mbili na pengine
watajifunza kuwa waadilifu kwani sina uhakika kama watapata
FIDIA kutoka kwa wale wanaowatumikia.
 
Labda si JK subiria speech ya 31-01-2013
Hakubali kirahisi
 
Naunga hoja mkono mwanangu Gazeti. Hapa umelenga ingawa mimi siungi mkono kuanza kujenga minara wakati wahanga wengine watafuata vinginevyo kama umma umeamua kunywea na kuingia hasara kwa kusitisha mapambano ya ukombozi dhidi ya ufisadi.
 
Mkuu afute hilo wazo la minara ili ujengwe mnara mmoja tu mkoa mzima au kusini yote.
 
Mtoa mada kateleza, siyo rahisi.

Akili ni nywele nimeamini......basi mnara ukajengwe pale halmashauri ya masasi ili uwe kumbukumbu kwa wanawetu kuwa sie tulichoma moto halmashauri kwa gas ya msimbati km 240 toka masasi.

Pia tuandikie kuwa wenzetu wa mtw vijijini hata mti hawajachoma....na hakuna madhara yaliyotokea.
 
Mmahe lina nelyo nilinguhekeja. Kweli wako mmakonde kwelikweli hadi lina. VINO tukalime gas inihila ikaida indala inatuwalale....
 
Akili ni nywele nimeamini......basi mnara ukajengwe pale halmashauri ya masasi ili uwe kumbukumbu kwa wanawetu kuwa sie tulichoma moto halmashauri kwa gas ya msimbati km 240 toka masasi.

Pia tuandikie kuwa wenzetu wa mtw vijijini hata mti hawajachoma....na hakuna madhara yaliyotokea.
Yaani kwa Comment hii nafahamu fika kuwa wewe hujajivua GAMBA kama wenzako
Km 240 bado ni Mtwara tu hata hivyo wazo la mnara nimelifuta.
 
naunga mkono hoja ya kuchangia familia za wenzetu waliopoteza maisha saga la gesi.swala ni jinsi ya kuorganize michango
 
mahali kitakapojengwa kiwanda cha kuchakata gesi ndipo hapohapo ujengwe mnara wa kumbkumbu ya wenzetu waliopteza maisha
 
Back
Top Bottom