Kwanini crdb ndo nzur na co nmb
mpwa hivi ile gym ya pale Shabiby Petrol station imeshakufa au hakuna wateja??Classic gym ni hadi mjini, ila sidhani kama wapo watu wanaokwenda huko. but local gym zipo kwa wabeba makopo ila sio rasmi sana na sijui hili kwa colleges, na pia yawezekana hata ndani ya college watu hawajui kama kuna gyms, Kwa Educatoion kwa mfano, Wapo wanaofanya mazoezi Kwenye roof ya kila Hostel na huko ndo wameweka vyuma vya kubeba.
naendelea kukuponngeza kka makole kwa ushauri wako,,naombe unisaidi hili,,kuhsu join instruction tunapataje,,maama kuna rafk yangu ypo kazni na anatakiwa apeleke join intruction ndo aruhusiwe,,ili aendelee kupata salary,,
Kwa wale waliochaguliwa Udom Joining instruc zinapatikana chuoni na wale wa mikoani zitaaza kutumwa Tar 8 september.
Kwa wale waliochaguliwa Udom Joining instruc zinapatikana chuoni na wale wa mikoani zitaaza kutumwa Tar 8 september.
Watatoa wenyewe joining, hata hivyo kuna link inaitwa ALIS ingekuruhusu kuingia pale na kuingiza index namba ya 4m na jina lako, then ungeidownload maana tayari uko kwenye database ya chuo. kwa sasa haifunguki. labda pigeni cm kuwauliza
Kwa wale waliochaguliwa Udom Joining instruc zinapatikana chuoni na wale wa mikoani zitaaza kutumwa Tar 8 september.
tupeni details vitu vya mcng kwenye hiyo joining instr ninini,maana wengine tupo mbal
hahaha!! MAKOLE umenifurahisha unapoandika ALIS. ni Academic Registration Information System(ARIS). Acha kutisha wenzako. Au umetapeliwa na wajasi kule Ng'ox.
tatizo hiyo ALIS mpaka sasa haifungukinimetoka huko leo, waminiambia joirn instruction inapatikana ktk website ya chuo(ALIS).so ucjisumbue kwenda huko
Wamesema soon watai iopen hiyo alis,sikutaka kuhoji zaidi,baada ya kuuliza lini alikomaa tu itakua soon,we tembelea website ya chuo mara kwa mara.ni bora tu kufata huo ushauri