Ushauri kwa walio na michepuko

Ushauri kwa walio na michepuko

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,679
Reaction score
31,073
Leo week end hebu tuachane na Nkurunzinza na tuone mambo social.
Pamoja na umasikini, ukwasi na hali mbaya ya uchumi wetu nimefuatilia muda mrefu na wanaume wengi hata waliooa wana michepukoz.

Malalamiko yao karibu wote ni kama ifutavyo:


  • Mchepuko mya mara zote anataka simu mpya toka kwako.
  • Mchepuko utadai kodi ya chumba chake maana mwenye nyumba anamnyemelea asipolipa.
  • Mchepuko unataka hela ya kuretouch nywele weekend ikifika.
  • Mchepuko amefiwa anataka nauli na hela ya matunzo safarini.
  • Mchepuko anaomba mchango wa harusi ya mdogo wake.
  • Na mengine meengi

Mama Chanja yeye anaadai tu school fees za watoto na hela ya sukari.

Haya wadau weekend njema
 
Asubuhi yote hii mtu anaweza michepuko alafu tunalalamika maisha magumu.

Kweli inaingia akilini????
 
unadaiwa elfu30 ya sukari kumbe sukari elfu5 inayobakia anapeleka saluni, kwao, kuchangia kitchenparty.......kodi ya nyumba haombi anakumbushia tu....
 
unadaiwa elfu30 ya sukari kumbe sukari elfu5 inayobakia anapeleka saluni, kwao, kuchangia kitchenparty.......kodi ya nyumba haombi anakumbushia tu....

Ha ha ha !!!!
Ngoma droo, timu ya nje na ya wenyeii
 
ze mchepukoz mixer ze hiv + kaswende plus kudedi ze watoto ze yatima zen ze nduguz wanagawana mali ze answer iz= ze poverty to ze nation and zen blame ze government
 
Kuchepuka ni kipaji, kama ni bahli bora uache maana utaivuruga familia yako.

Mchepuko anataka steak sio maraparapa kama fisi.
Akiomba hela ukisema huna mkwara utakaopata ni " unataka nije kwa mkeo nipachimbe ee!!!!! kama unataka amani tuma hiyo hela"
 
ze mchepukoz mixer ze hiv + kaswende plus kudedi ze watoto ze yatima zen ze nduguz wanagawana mali ze answer iz= ze poverty to ze nation and zen blame ze government[/QUO
Hahaha kweli aisee.
 
Back
Top Bottom