100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,768
- 38,581
Vijana wangu mnakunywa sana pombe, tena mkipigiwa na zile nyimbo za kusifu ulevi ndio basi unaweza malizia hapo mshahara.Hili tunalijua mkuu ila dunia nzima tuna furahia vibe kwa hiyo kama wasanii wenyewe hawanywi shauri zao sisi tukipata hela tuna kikao cha kumwagilia chini ya pua suala la kukesha kila mtu ashinde mechi zake na kila mtu aubebe msalaba wake mwenyewe ila vibe tuachie mkuu hata ikipigwa ya rose muhando kama inachezeka tunaruka nayo
Upo sahihi sana na barikiwa mno naamin wapo wachache watakuelewaWadogo zangu muziki ni sanaa, ni kama filamu, unapoingia kwenda kutazama filamu cinema au nyumbani unapomaliza unaiacha palepale. Kwenye filamu si kweli kuna uhalisia kwamba spiderman yupo au wale characters kwenye avengers wapo, hakuna uhalisia ile tunatazama kuburudika tu.
Hivyo hivyo jumbe zilizomo kwenye baadhi ya nyimbo si za kuchukua na kuzifanyia kazi, kundi hili la vijana kuanzia late 90's hadi mwanzoni mwa 2000 ndio wahanga wakubwa kwa sasa wa maudhui yanayokuwepo kwenye social medias na nyimbo.
Nimesoma habari kijana kajiua, kisa stress za mahusiano akaenda kusikiliza nyimbo ya dear x mara 60, baada ya hapo kaenda kujiua.
Sasa hivi kuna hizi nyimbo za amapiano mtu anaimba na kusifu pombe na malaya kwamba anakunywa hadi asubuhi, nyimbo za kusifu ngono, matusi na kila aina ya false message. Nipende kusema hakuna uhalisia, tena hawa wasanii wengine hata hizo pombe hawanywi.
Mwisho: Maisha ya hawa social media influencers, wakiwemo wasanii na wengine maarufu, jina lingine ni internet personality, personality na life style yake kwenye internet/medias sio kweli katika uhalisia, wengi wana fake, na ile ni ajira yake.
Napenda nikilewaaVijana wangu mnakunywa sana pombe, tena mkipigiwa na zile nyimbo za kusifu ulevi ndio basi unaweza malizia hapo mshahara.
Hebu nipe faida hata moja ya kunywa pombe?
Mimi ni msikilizaji mzuri sana wa hizo nyimbo na kila weekend lazima niingie viwanja either Elements, SamakiSamaki au kitambaa cheupe na sivuti sigara, bangi wala sinywi pombe.Hivyo hivyo jumbe zilizomo kwenye baadhi ya nyimbo si za kuchukua na kuzifanyia kazi, kundi hili la vijana kuanzia late 90's hadi mwanzoni mwa 2000 ndio wahanga wakubwa kwa sasa wa maudhui yanayokuwepo kwenye social medias na nyimbo
Si kwelii kiongozi, Labda unatak kuleta picha tofuati hapo. Lakini si kweli hilo usemaloMimi ni msikilizaji mzuri sana wa hizo nyimbo na kila weekend lazima niingie viwanja either Elements, SamakiSamaki au kitambaa cheupe na sivuti sigara, bangi wala sinywi pombe.
Anayewafwatisha wasanii na tabia za watu wa social media ni mjinga.
Inaonekana unanijua kuliko hata ninavojijuaSi kwelii kiongozi, Labda unatak kuleta picha tofuati hapo. Lakini si kweli hilo usemalo
Okay okay nimekosea kuku'quote. 😄😄Inaonekana unanijua kuliko hata ninavojijua
Enhe nambie tabia zangu ni zipi??
Hali inatisha mkuu.Aisee very touching mkuu.
Hio Ngono sasa inavofanywa hovyo Hali inatisha kwa kweli vijana have no discipline.
Sio kwamba mnafuatiliwa maisha yenu, ni ile kukumbushana kwamba tupo katika nyakati mbaya, mtandao wa business insiders africa umetoa takwimu Tanzania ni nchi ya pili bara la Africa kwa kunywa pombe.Safari hii vijana shughuli tunayo. Kila tunachogusa lazima itafutwe angle ya kutusimanga. Mbona kuna mafaza na mabroo kibao tu ni walevi mbwa. Anyway ushauri mzuri
1996 hadi 1999.Late 90s ni gani?
kuanzia 97 ni gen z😂 AKA kina chinnoLate 90s ni gani?
Kuna ile nyingine anakuambia ''eti nilale nimlalie nani? wakati pesa nimezipata ukubwani...''Napenda nikilewaa
Nipande juu ya mezaaaaa
Minjonjooo
Natema kingerezaaa 🏃♂️🏃♂️💨
Unaona ajabu. Mbona mimi mwenyewe club naenda na pombe sinywi na mziki sichezi. Natazama watu, refreshment yangu ni kuona watu wanavibe na kuwahukumu kimoyomoyo wakijitoa ufahamu.Si kwelii kiongozi, Labda unatak kuleta picha tofuati hapo. Lakini si kweli hilo usemalo