Bugududu Sududu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2014
- 600
- 700
Habari zenu watanzania wenzangu na vijana wenzangu.Ninaomba niwapatie ushauri kwenu mliohitimu na kwa wale ambao bado wapo vyuoni.Fanya haya mambo matatu ili kujiongezea thamani kwenye soko la ajira hakika utakuwa na wigo mpana wa kujiajiri au kuajiriwa
(1)Hakikisha unajifunza lugha ya kiingereza kuandika na kukiongea kwa ufasaha au wastani wake
(2)Hakikisha unajifunza kompyuta na kuielewa hasa Microsoft word,office n.k
(3)Jifunze kuendesha gari hii ni katika sifa za ziada.Ukiwa na hivi vitu basi thamani yako katika ulingo wa ajira inaongezeka.asanteni