cc miss chaggaIwafikie ma miss wote wa jf
Watakuelewa wakigonga 35 yrs.
ukiona unapendwa na wengi basi dharau inazidi. Nimenote hapo nshawaona wa hivi. Tena si kupendwa ni kutamaniwa tu. Akipita mtaani anaskia miluzimiluzi anajiona yeye ndo yeye
Wamekusikia.....
amesemaje vile?
Jamani kinadada mliopata nafasi yakusoma hii thread, kuweni makini kwenye mahusiano yenu, jitahidini kuchunguza ni nani ana pendo la dhati kwako, pesa zipo tuu lakini mapenzi ya kweli ndio kila kitu, ya nini kuwa na pesa lakini amani huna kila siku.
Usikurupuke , kuna wengine wakiona kwamba wanapendwa sana na wengi basi dharau zinakuwa nyingi.
Jamani siwafundishi ni ushauri tuuuuuuu.
....hata walioolewa inawahusu pia....