Mstaarabu wa ukwee
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 212
- 140
Jamani kinadada mliopata nafasi yakusoma hii thread, kuweni makini kwenye mahusiano yenu, jitahidini kuchunguza ni nani ana pendo la dhati kwako, pesa zipo tuu lakini mapenzi ya kweli ndio kila kitu, ya nini kuwa na pesa lakini amani huna kila siku.
Usikurupuke , kuna wengine wakiona kwamba wanapendwa sana na wengi basi dharau zinakuwa nyingi.
Jamani siwafundishi ni ushauri tuuuuuuu.
Usikurupuke , kuna wengine wakiona kwamba wanapendwa sana na wengi basi dharau zinakuwa nyingi.
Jamani siwafundishi ni ushauri tuuuuuuu.