Ushauri kwa Viongozi na Wabunge wa UKAWA

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,792
Reaction score
165,521
Wabunge wa UKAWA,mara baada ya kula kiapo cha ubunge,kazi yenu ya kwanza na kwa umoja wenu iwe ni kusimamia mambo yafuatayo ndani ya Bunge.

Tume Huru:Hili jambo nawashauri liwe ni agenda yenu ya kudumu ndani ya Bunge na mkiona serikali inasitasita kuleta mswaada wa marekebisho wa undwaji wa Tume hii pelekeni hoja binafsi hata kams itakataliwa.

Matokeo ya uraisi kuhojiwa Mahakamani:Hii nayo iwe ni agenda yenu ya kudumu na msikubali kurudi nyuma.

Sheria ya Uchaguzi:Muitake serikali ilete Bungeni Muswaada wa Marekebisho wa Sheria hii katika kifungu/vipengele vinavyowataja/kuwatambua Wakurugenzi wa Halmashauri na Watendaji wa Kata kama maafisa wa Tume ya Uchaguzi.Hawa watu baadhi yao ni chanzo cha matatizo ya kuvurugika kwa uchaguzi katika maeneo yao.

Serikali ikisita kutekeleza,pelekeni hoja binafsi bungeni mkilenga kuifanyia mabadiliko sheria hiyo hata kama walio wengi watakataa ila mtakuwa mmetimiza wajibu wenu kabla ya kuchukua hatua nyingine nje Bunge kupitia Umoja wa Vyama vyenu(UKAWA).

Viongozi wa UKAWA,endapo mambo haya yatakataliwa,kamwe msikubali kushiriki katika uchaguzi wowote ule ujao kwani inatosha na sasa tuseme "yatosha".

Huu ndio wakati muafaka wa kupigania haya kwani bado watu wana kumbukumbu nzuri za nini kimefanyika katika uchaguzi wa mwaka huu kulikoni kungoja muda upite na watu wakawa wamesahau na hoja zikakosa nguvu.

Mnapaswa kutambua kuwa wafuasi wengi wa mabadiliko wamekatishwa tamaa na huu uchaguzi na bila marekebisho hayo wengi wao hawatapiga kura katika uchaguzi ujao.

Hatari kubwa ya wafuasi wa vyama vya upinzani kukata tamaa ya kupiga kura ni kutoa fursa kwa chama tawala kushinda kirahisi kwani wafuasi wa CCM wao watajitokeza kwa wingi ili hali wa upinzani watapungu na hapo tutakuwa tumeshindwa asubuhi ya siku ya uchaguzi ujao na zingine zitakazofuata.

NB:Uchaguzi si lazima ufanyike kila baada ya miaka 5 kama Katiba inavyoelekeza kwani kuna mambo yakitokea yanaweza kupelekea uchaguzi kufanyika kabla ya muda huo kupita hivyo hakuna muda wa kupoteza kwani hakuna aijue kesho.

Tofauti na hapo,tutaendelea kuwa wapinzani daima.
 
Wabunge wa Upinzani tunawaomba hiyo njia wanayitumia kuwaibia kura ujulikane wazi na isemwe wazi wazi bila kigugumizi, maana hiyo ni kutuchezea watanzania kana kwamba hatuna akili, wametupotezea muda wetu mwingi sana kumbe majibu wanayo, tulizisikia kauli zao eti hawatakuwa tayari kuitoa ikulu, watatumia goli la Mkono, watanzania hii laana tutaachana nayo lini? kwa nini rais wetu anayestaafu hapendi haki? ni wa dini gani? Kweli anamjua Mungu? sidhani
 
Mkuu naona unauchungu sana. Mimi nilianza kufuatilia siasa tangu 1995. Kwenye vyama vya upinzani kuna mapandikizi ambayo yamewekwa kwa makusudi .hivyo kama wale wapinzani wa kweli watagomea uchaguzi, wale mapandikizi wataendelea na uchaguzi hivyo kufanya uchaguzi ufanyike.
 
Kwakweli inaumiza sana!
 
Wabunge wa UKAWA,mara baada ya kula kiapo cha ubunge,kazi yenu ya kwanza na kwa umoja wenu iwe ni kusimamia mambo yafuatayo ndani ya Bunge.

Tume Huru:Hili jambo nawashauri liwe ni agenda yenu ya kudumu ndani ya Bunge na mkiona serikali inasitasita kuleta mswaada wa marekebisho wa undwaji wa Tume hii pelekeni hoja binafsi hata kams itakataliwa.

Matokeo ya uraisi kuhojiwa Mahakamani:Hii nayo iwe ni agenda yenu ya kudumu na msikubali kurudi nyuma.

Sheria ya Uchaguzi:Muitake serikali ilete Bungeni Muswaada wa Marekebisho wa Sheria hii katika kifungu/vipengele vinavyowataja/kuwatambua Wakurugenzi wa Halmashauri na Watendaji wa Kata kama maafisa wa Tume ya Uchaguzi.Hawa watu baadhi yao ni chanzo cha matatizo ya kuvurugika kwa uchaguzi katika maeneo yao.

Serikali ikisita kutekeleza,pelekeni hoja binafsi bungeni mkilenga kuifanyia mabadiliko sheria hiyo hata kama walio wengi watakataa ila mtakuwa mmetimiza wajibu wenu kabla ya kuchukua hatua nyingine nje Bunge kupitia Umoja wa Vyama vyenu(UKAWA).

Viongozi wa UKAWA,endapo mambo haya yatakataliwa,kamwe msikubali kushiriki katika uchaguzi wowote ule ujao kwani inatosha na sasa tuseme "yatosha".

Huu ndio wakati muafaka wa kupigania haya kwani bado watu wana kumbukumbu nzuri za nini kimefanyika katika uchaguzi wa mwaka huu kulikoni kungoja muda upite na watu wakawa wamesahau na hoja zikakosa nguvu.

Mnapaswa kutambua kuwa wafuasi wengi wa mabadiliko wamekatishwa tamaa na huu uchaguzi na bila marekebisho hayo wengi wao hawatapiga kura katika uchaguzi ujao.

Hatari kubwa ya wafuasi wa vyama vya upinzani kukata tamaa ya kupiga kura ni kutoa fursa kwa chama tawala kushinda kirahisi kwani wafuasi wa CCM wao watajitokeza kwa wingi ili hali wa upinzani watapungu na hapo tutakuwa tumeshindwa asubuhi ya siku ya uchaguzi ujao na zingine zitakazofuata.

NB:Uchaguzi si lazima ufanyike kila baada ya miaka 5 kama Katiba inavyoelekeza kwani kuna mambo yakitokea yanaweza kupelekea uchaguzi kufanyika kabla ya muda huo kupita hivyo hakuna muda wa kupoteza kwani hakuna aijue kesho.

Tofauti na hapo,tutaendelea kuwa wapinzani daima.
CC: Tumaini Makene , John Mnyika , Zitto Kabwe Halima Mdee , GODBLESS Lema
 
Last edited by a moderator:
Wabunge wa Upinzani tunawaomba hiyo njia wanayitumia kuwaibia kura ujulikane wazi na isemwe wazi wazi bila kigugumizi, maana hiyo ni kutuchezea watanzania kana kwamba hatuna akili, wametupotezea muda wetu mwingi sana kumbe majibu wanayo, tulizisikia kauli zao eti hawatakuwa tayari kuitoa ikulu, watatumia goli la Mkono, watanzania hii laana tutaachana nayo lini? kwa nini rais wetu anayestaafu hapendi haki? ni wa dini gani? Kweli anamjua Mungu? sidhani
Mkuu, naunga mkono hoja, kwa kuwa sasa wameongezeka wanatakiwa waimarishe umoja wao na kusimamia maslahi ya taifa kwa kukosoa mambo yenye tija kwa taifa hadharani, wahakikishe zile NDIOOOOOOOOOOOOOO, wanazikomesha ili wananchi waweze kuona umuhimu wa kuchagua upinzani miaka ijayo ingawa bado elimu, elimu,elimu inahitajika sio ya darasani tu bali hata elimu ya kuchambua na kufahamu umuhimu wa Upinzani Imara katika taifa hata kama sio wenyewe wenye chama tawala.
 
Salary Slip haendi mtu huko, au hata tukienda bungeni tukiingia kitu cha kwanza ni kupiga kura ya kutokua na imani na rais.
 
Last edited by a moderator:
Kwakweli inaumiza sana!

Mkuu kuilazimisha serikali kubadili katiba yataka uwe na akidi ya kutosha,ukawa hawana na ccm wana theluthi mbili zinazowafanya wafanye watakavyo hata ukawa wakisusa.
Kuhusu tume na mengine hayo yote yamo katika katiba pendekezwa lakini kutokana na mihemko ya kisiasa ukawa waliipiga teke.
Ukawa mmetaka kushindwa wemyewe
 
Unavyoongea mleta mada haiwezekani.
Wameshindwa kwenye katiba mpya wataweza?
Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ni mwiba kwa CCM.
Hawatakubali hata kidogo.
 
Salary Slip haendi mtu huko, au hata tukienda bungeni tukiingia kitu cha kwanza ni kupiga kura ya kutokua na imani na rais.
Ndugu yangu hiyo kura tutashinda vipi ili hali idadi yetu ni ndogo ukilinganisha na idadi ya ma-CCM katika kupitisha maamuzi?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kuilazimisha serikali kubadili katiba yataka uwe na akidi ya kutosha,ukawa hawana na ccm wana theluthi mbili zinazowafanya wafanye watakavyo hata ukawa wakisusa.
Kuhusu tume na mengine hayo yote yamo katika katiba pendekezwa lakini kutokana na mihemko ya kisiasa ukawa waliipiga teke.
Ukawa mmetaka kushindwa wemyewe
Ndio maana nikasema shinikizo pekee litakoleweza kutusaidi ni kususia kushiriki uchaguzi mkuu ujao.

This is the only available last resort.
 
Hawana aibu hawa, kama wameweza kuweka matokeo yao tofauti na ya wapiga kura mkisusa watasema mgombea wao kapita bila ya kupingwa. kama kuna wakati wa kufanya jambo ni sasa, hatuna 'next time'.
 
Wabunge wa UKAWA,mara baada ya kula kiapo cha ubunge,kazi yenu ya kwanza na kwa umoja wenu iwe ni kusimamia mambo yafuatayo ndani ya Bunge.

Tume Huru:Hili jambo nawashauri liwe ni agenda yenu ya kudumu ndani ya Bunge na mkiona serikali inasitasita kuleta mswaada wa marekebisho wa undwaji wa Tume hii pelekeni hoja binafsi hata kams itakataliwa.

Matokeo ya uraisi kuhojiwa Mahakamani:Hii nayo iwe ni agenda yenu ya kudumu na msikubali kurudi nyuma.

Sheria ya Uchaguzi:Muitake serikali ilete Bungeni Muswaada wa Marekebisho wa Sheria hii katika kifungu/vipengele vinavyowataja/kuwatambua Wakurugenzi wa Halmashauri na Watendaji wa Kata kama maafisa wa Tume ya Uchaguzi.Hawa watu baadhi yao ni chanzo cha matatizo ya kuvurugika kwa uchaguzi katika maeneo yao.

Serikali ikisita kutekeleza,pelekeni hoja binafsi bungeni mkilenga kuifanyia mabadiliko sheria hiyo hata kama walio wengi watakataa ila mtakuwa mmetimiza wajibu wenu kabla ya kuchukua hatua nyingine nje Bunge kupitia Umoja wa Vyama vyenu(UKAWA).

Viongozi wa UKAWA,endapo mambo haya yatakataliwa,kamwe msikubali kushiriki katika uchaguzi wowote ule ujao kwani inatosha na sasa tuseme "yatosha".

Huu ndio wakati muafaka wa kupigania haya kwani bado watu wana kumbukumbu nzuri za nini kimefanyika katika uchaguzi wa mwaka huu kulikoni kungoja muda upite na watu wakawa wamesahau na hoja zikakosa nguvu.

Mnapaswa kutambua kuwa wafuasi wengi wa mabadiliko wamekatishwa tamaa na huu uchaguzi na bila marekebisho hayo wengi wao hawatapiga kura katika uchaguzi ujao.

Hatari kubwa ya wafuasi wa vyama vya upinzani kukata tamaa ya kupiga kura ni kutoa fursa kwa chama tawala kushinda kirahisi kwani wafuasi wa CCM wao watajitokeza kwa wingi ili hali wa upinzani watapungu na hapo tutakuwa tumeshindwa asubuhi ya siku ya uchaguzi ujao na zingine zitakazofuata.

NB:Uchaguzi si lazima ufanyike kila baada ya miaka 5 kama Katiba inavyoelekeza kwani kuna mambo yakitokea yanaweza kupelekea uchaguzi kufanyika kabla ya muda huo kupita hivyo hakuna muda wa kupoteza kwani hakuna aijue kesho.

Tofauti na hapo,tutaendelea kuwa wapinzani daima.

Mimi ushauri wangu waache kususasusa na kutoka bungeni.
 
Unavyoongea mleta mada haiwezekani.
Wameshindwa kwenye katiba mpya wataweza?
Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ni mwiba kwa CCM.
Hawatakubali hata kidogo.

Wakiyakataa hayo nafikiri nguvu ya umma itafanya kazi yake kwani kila kitu kinaanza kidogo kidogo lakini kikikomaa CCM hawataweza kuzuia.
 
Hahaha ushauri mzuri pia wakumbuke kupinga CHAMA KUNUNULIWA
 
Back
Top Bottom