kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,793
- 5,053
Kijana usioe mwanamke ambaye unaona una mpenda saana mpaka una kosa raha. Fanya kila liwezekanalo huachane na huyu mwanamke. Hata kama utaumia kiasi gani ukiachana naye my bro wewe kaza moyo tu au fumba macho na hisia zako umpotezee huyo mwanamke
Kwanini na sema hivi
Kwasababu ukioa mwanamke ambaye ana jua una mpenda saana atakusumbuwa katika ndoa
Na inawezekana kabisa akawa na toka na wanaume wengine kwa kukuchukulia wewe kama zezeta
Sababu ya pili: ukioa mwanamke ambaye una mpenda saana utakuwa na wivu wa kupitiliza saana kwake kitu ambacho kinasumbuwa wanawake wengi japo wivu ndo mapenzi ikizidi inakuwa mapanzi
Sababu ya tatu : ukiona mwanamke ambaye una mpenda saana kuna uwezekano wa kuachana na huyo mwanamke katika ndoa
Kwanini na sema hivi
Kuna baadhi ya wanaume ambao hua tuna penda kwanza alafu tuna kuchukulia poa tukisha kuzoea tunaanza kukuona msumbufu