PreGE2025 Ushauri kwa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
1,289
Reaction score
2,190
Ili kuhakikisha uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025 unakuwa HURU na HAKI hakikisheni mnaajiri wahitimu wa Vyuo mbalimbali waliopo mitaani na kamwe ajira hizi zisitolewe kwa Watumishi wa Serikali.

Wapinzani wamelalamika sana juu ya mwenendo mzima uliosimamia chaguzi zilizopita kuwa zilikuwa za upendeleo zikisimamiwa na Watumishi wa Serikali.

Pia soma > Pre GE2025 - Ushauri wa upendo kwa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC)
 
Tume ipi hiyo .?

Hii habari ungeipeleka Kenya huko wenye TUME YAO HURU.

Umekosea jukwaa
 
Mahakama ilikwisha amua, ma-DED hawatakuwa wasimamizi wa uchaguzi mkuu mwaka huu. Vyama vijipange kuwapata mawakala makini kuviwakilisha.
 
Ili kuhakikisha uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025 unakuwa HURU na HAKI hakikisheni mnaajiri wahitimu wa Vyuo mbalimbali waliopo mitaani na kamwe ajira hizi zisitolewe kwa Watumishi wa Serikali.

Wapinzani wamelalamika sana juu ya mwenendo mzima uliosimamia chaguzi zilizopita kuwa zilikuwa za upendeleo zikisimamiwa na Watumishi wa Serikali.

Pia soma > Pre GE2025 - Ushauri wa upendo kwa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC)
Tume ya uchaguzi haiwi huru kwa kuitwa tu Tume Huru ya Uchaguzi. It must be independent in fact and appearance. This elections commission fails this test!
 
Ili kuhakikisha uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025 unakuwa HURU na HAKI hakikisheni mnaajiri wahitimu wa Vyuo mbalimbali waliopo mitaani na kamwe ajira hizi zisitolewe kwa Watumishi wa Serikali.

Wapinzani wamelalamika sana juu ya mwenendo mzima uliosimamia chaguzi zilizopita kuwa zilikuwa za upendeleo zikisimamiwa na Watumishi wa Serikali.

Pia soma > Pre GE2025 - Ushauri wa upendo kwa Tume Huru ya Uchaguzi

Tume ipi hiyo .?

Hii habari ungeipeleka Kenya huko wenye TUME YAO HURU.

Umekosea jukwaa
Tume ya uchaguzi haiwi huru kwa kuitwa tu Tume Huru ya Uchaguzi. It must be independent in fact and appearance. This elections commission fails this test!

Kwa mujibu wa Ibara ya 74 ya Katiba ya JMT, inatambua uwepo wa Tume ya Uchaguzi, yaani NEC LAKINI siyo Tume Huru ya Uchaguzi (INEC). INEC kwa mujibu wa Ibara hiyo ya Katiba ni Kitu BATILI kwani haitambuliki na Katiba. Marekebisho ya jina la Tume ya Uchaguzi kutoka NEC kwenda INEC yalipaswa kutanguliwa na Marekebisho ya Katiba iliyopo kwanza, hususani Ibara hiyo ya 74.

Katiba inasema kwamba kutakuwa na Tume ya Uchaguzi wala siyo Tume Huru ya Uchaguzi. Mabadiliko haya ya Sheria ya Uchaguzi yaliyosababisha kubadilisha jina la Tume ya Uchaguzi kutoka NEC kwenda INEC ni BATILI kwa mujibu wa Ibara hiyo ya 74 kwani Mabadiliko haya yanakinzana na matakwa ya Katiba ya nchi.

Kwa maana hiyo, Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania (INEC) ni Taasisi au kitu ambacho hakitambuliki na Katiba ya nchi hivyo ni BATILI KWA UJUMLA WAKE. Taasisi hiyo haitambuliki kisheria kwa mujibu wa Ibara ya 74 ya Katiba ya JMT
 
Back
Top Bottom