Ushauri kwa TCU na NACTE

Ushauri kwa TCU na NACTE

JOSEPHAT_07

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
320
Reaction score
195
Ni bora mkarudisha system ya kuaply vyuo kwa wale watu wa form 6 TCU na kwa watu wa Dipolma Nacte.
Kulikua akuna multiple selection kama sasahivi, kuna wanafunzi kibao watakosa vyuo kisa hii system yenu ya sasahivi hizo code zenu mnazo sema mnatuma bado wanazisubili. Sasahivi kuna adi fourth round katika application ya chuo, hii yote ni hiyo system yenu mpya mtu anachaguliwa vyuo vinne. Niushauri tu huu nawapa TCU na NACTE
 
Wazalendo hawawezi kutengenezwa kwa mfumo huu, maisha tabu, kusoma tabu, kupata chuo tabu na kupata ajira tabu yaani kila kitu ni tabu tabu tuuuuu, hapo ndo umwambie mtu aipende nchi yake na awe mzalendo, thubutuuuuu. wanatengeneza mifumo kandamizi ili tu wanafunzi wakose mikopo, watoto wana pressure toka kipindi wanajiandaa kufanya mitihani, kipindi wanafanya mitihani, kipindi wanasubiri matokeo, kipindi wanafanya application na zaidi kipindi hiki wanahangaika na hayo MA-CODE, MULTIPLE na takataka zingine kibao
 
huo mfumo wa multiple wanafanya kwa kufuata kauli ya mheshimiwa John Pombe Magufuli alisema" kila mwanafunzi apelekwe kwenye chuo apendacho yeye mwenyewe" sasa ndio inacost hivi leo hii yani mwanafunzi anachaguliwa chuo zaidi ya kimoja alaf achague mwenyewe ila wanasahau kuwa mwanafunzi huyo atakwenda kwenye chuo kimoja tu kusoma na anaziba nafasi kwa wengine kwenye vyuo vingine yan huu mfumo si mzuri hata kidogo na kinachoniuma zaidi waziri wa elimu kakaa tu kimya kama haoni vile watoto wa masikini wamepambana kwa shida mashuleni na wakafaulu lakini bado wanakosa nafasi ya kujiunga na elimu ya juu kiukweli inauma sana mtoto kasoma miaka 7 shule ya msingi 4 sekondari na 2 advance leo hii aishie mtaani yani unaweza sema kafeli duuh Mungu anaiona Tanzania jinsi gani wenye haki wanalia naamini atafanya tu jambo lakini ikumbukwe haki haidhurumiwi Mungu atatetea watu wake ila pia tukumbuke uhuru unagharama tusipolisemea hili na kukaa kimya wanafunzi watazidi umia
'
 
Kupelekwa kwenye chuo akipendacho mwanafunzi sawa lakini sio kwa stahili hi
 
Siku zote mfumo mpya kabla ya kuanza kazi lazima ufanyiwe majaribio
 
Back
Top Bottom