USHAURI KWA TANAPA

USHAURI KWA TANAPA

analgesic

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
764
Reaction score
1,268
Tanapa wametangaza nafasi za kazi na kuwataka wenye vigezo waombe kupitia mtandao wao maalum, lakini hiyo system yao inamapungufu mengi eiza ya kiufundi au makusudi ili iwe kigezo cha watu Fulani kushinindwa mfano kuna sehemu wameweka vipengele vya kuchagua Ila ukibonyeza vipengele haviji, au vipengele haviendani na uhalisia pale kwenye postal code ukibonyeza kama nchi uliweka Tanzania selection ya postal code haiji ila ukiweka Uganda postal code inakuja 00255, pia Luna baadhi ya nafasi ukimaliza kijaza application form ukienda kwenye ukurasa wa kuomba kazi zile nafasi zinakuwa automatic zimejifuta. Ushauri izi agence ziache ubabaishaji waachiwe utumishi wafanye kazi yao
 
pole mkuu... nafasi gani iyo inayo jifuta yenyewe, haitaki kuombwa... vipi bado hauja fanikiwa kuomba? umejaribu kuwatafuta?
 
Wanatakiwa wachange hakuna sehemu ya kuattach files, post code inazingua taaabu tu
 
Back
Top Bottom