Ushauri kwa Serikali

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,337
Katika Darasa Huru,

Ushauri serikali ianzishe au kurudisha masomo yaliyo kuwa yanafundishwa zamani ili kusaidia kutokana na anguko la Ajira.
Masomo hayo Ni kama vile.

👉Sayansi kimu, Maarifa ya nyumbani, stadi za kazi, Haiba na michezo, TEHAMA n.k. Ambayo yanajenga uwezo kwa mwanafunzi kujiajiri kutokana na kipaji chake na hata wanao enda kusomea VETA itasaidia.

Kauli ya kujiajiri italeta matunda kwa mwanafunzi aliye soma masomo hayo. Fikra: Mwanafunzi amesoma kiswahili unamwambia Ajiajiri Mbaya zaidi amesoma kuchambua Sentensi kwa njia ya matawi je, Ndo atakacho jiajiri?

Tafakari kabla ya Uamzi.

Na Education Forums

Credit: Fahamu Leo
 
 
Back
Top Bottom