Ushauri kwa serikali; Elimu ya Chuo Kikuu isimamiwe na NECTA

Vyuo vikuu wawe wanapiga paper moja nchi nzima kama ilivyo kwa darasa la nne la saba kidato cha pili cha nne cha sita na vyuo vya ualimu

Hii itapunguza degree za michongo na itaipa hadhi elimu yetu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Kama CPA au Law School sio? Wanafunzi NA wahadhiri hawatakubali.

MTU wa CBE umpe paper moja NA MTU wa UDSM kweli? Not fair at all
 
Mkuu turejeshe kwanza kwenye maana ya University (Chuo Kikuu)

Ndo tuone ambavyo ni complicated process compared to your expected outputs
 
Kama CPA au Law School sio? Wanafunzi NA wahadhiri hawatakubali.

MTU wa CBE umpe paper moja NA MTU wa UDSM kweli? Not fair at all
Course tofauti kwanza nashangaaa anadhami Hilo hawalioni Ila haiwezekani
 
Labda kuwe na baraza la vyuo vikuu,ambalo ndio lisimamie na liratibu mitihani ya UE,nchi nzima,Vyuo vikuu waendelee na mitihani ya course work ambapo mark 40 zitoke chuoni na marks 60 zitoke kwenye UE
 
Naona mnanimezesha maneno sasa... ninachomaanisha ni udokta, uprofesa na mengine kama hayo yasitegemee mhadhiri ameamkaje

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Paper moja kwa kozi za kufanana

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Ni ngumu kuliko unavyofikiria, kozi moja inaweza kuwa na contents tofauti kulingana na chuo husika. Bachelor of Nursing ya MUHAS sio 100% sawa na ya UDOM. Kila chuo kina mtaala wake ambao uko approved na TCU.

Haiwezekani vyuo vyote vifuate mtaala mmoja.
 
Back
Top Bottom