Ushauri kwa Sam Mahela, Mtangazaji wa ITV


Na Kama Akiwa Anataka Kumpa Ushauri Zaidi Basi Ahakikishe Jumapili Hii au Kila Jumapili Awe Anaenda Salon Ya Kiume Iliyoandikwa CHOGUM Iliyopo Nyuma Ya Kituo Cha Mabasi Cha Mwenge Kusudi Waweze Kuonana Ana Kwa Ana Itapendeza Mno.
 
Hivi ni kwanini huyu ndugu akiwa anamalizia simulizi zake kwenye tv pale anapotaja jina lake huwa anatingisha tingisha kichwa kama ana stroke vile?? au ndo sign off signature yake???
wewe utakua chekechekea??maswali ganya kipumbavu na kijinga hvyo?kesho utauliza kwa nn anatumia mikon kusisitizo taarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…