Ushauri kwa Rais Samia Suluhu

Yoshua1:5-6
Hapatakuwa mtu ye yote atayeweza kusimama mbele yako siku zote za maisha yako, kama nilivyokuwa pamoja na Musa, ndivyo nitakavyo kuwa pamoja na wewe, sitakupungukia wala sita kuacha.

Uwe hodari na moyo wa ushujaa......

Atafute wataalamu wa aminifu wa mshauri njia bora ya kuachana na kiroba cha misumari alicho twishwa cha kuhamia Dodoma. Itasaidia kuokoa raslimali za nchi lakini kuvuna faida kubwa za kiuchumi ambazo ziko DSM tayari. Itakuwa ni jambo la NPK sana kuikoa DSM na Utembo mweupe uliokuwa unakuwa kwa kasi.
 
Jamani tupo kwenye msiba. Tunaomboleza. Leteni nyuzi za kutiana moyo siyo za kufitini saa hizi,
 
Mi nashauri aanze na mwanasheria mkuu wa serikali...angekua anafanya kazi yake mama angetangaza siku 21 badala ya 14
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ama kweli wanyonge mmechefukwaa
 
Mimi binafsi namewaza kitambo kuwa huyu waziri wa afya kazi imemshinda , haijalishi iwapo alikuwa akifanyakazi kuendana na bosi wake alivyokuwa anataka ila mimi binafsi naona aliyokuwa anafanya ndipo uwezo wake wa kitaaluma ulipoishia. Na siyo Dr.Gwajima pekee pia wale watendaji wa serikali walikuwa wa kifanyakazi sio kwa weledi ila kwaajili ya kufurahisha mamlaka nao pia wapigwe chini haraka iwezekanavyo ili wale wenye uwezo kuwatumikia wananchi wachukue nafasi hizo
 
... kubwa zaidi ni kushindwa kuishauri vyema Serikali kuhusu hatua sahihi za kuchukua dhidi ya janga la COVID-19; ona sasa lilivyomaliza viongozi na wapendwa wetu. Kama alishauri hakusikilizwa alipaswa kujiuzulu!

Ajiuzulu ili watoto wale mawe.!!! thubutuu!!
 
... huyu alitakiwa afukuzwe muda uleule akiwa ndani ya blanket na mumewe wakionesha dunia ujinga wao! That's not a professional way to combat COVID-19!

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kwamba ile wanatoka nje ya blanketi tu wanakutana na bango la kutumbuliwa[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Pia afanye mabadiliko wizara ya fedha na mfumo wake wote....
 
Umeanzisha mada kwa hili la Wizara ya Afya pekee?

Basi umekosea kichwa cha habari mkuu.

Ulikuwa na nafasi nzuri kutoa ushauri mpana zaidi kulingana na kichwa cha habari, lakini badala yake umejikita katika ugomvi wako na huyo mama wa afya.

Hapana, usidhani namtetea, kwa sababu hata simjui kabisa.
 
Mbona umeongea kwa hasira kama vile alikukamata na dawa??
 
Huyo mama anaweza kuwa mtendaji mzuri lakini siyo kwa nafasi aliyonayo.
Naunga mkonyo, kumradhi Naunga mkono hoja
 
Ndio ambayo nimeona dosari. Kuwa huru kujazia na nyingine kama unazo.
 
Mie nashauri na kile kitengo nyeti cha wazee wa suti kipanguliwe yaani mpaka mzee anapigwa na mdudu walishindwa kumshauri anilock down na kuacha kuzurura kwenye miradi kama yuko shambani kwake.
Hasa ule ugeni ulokuwa unaingia chato wangeupiga stop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…