Yeye ndo anadai Kuwa dawa za 26bilion zimeibiwa ilihali ni mambo ya documentation inayotokna na uchache wa watumishiDuh, watu wafitini. Tayari wanataka kumfitinisha FIeld Marshall wa watu kwa Mh. Raisi. Mama mtaalam wa kupiga nyungu, wala hana time na mtu mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]
mama mbabe sana. kakaa kishari shari saa zoteYeye ndo anadai Kuwa dawa za 26bilion zimeibiwa ilihali ni mambo ya documentation inayotokna na uchache wa watumishi
Huyu mama amefanya hii wizara watu wajione kama wamevaapampas kwa kweli mtu wa kusumanha watumishi kila kona mara majambazi mara utateseka kwa kwa utumishi wako uliobakiamama mbabe sana. kakaa kishari shari saa zote
... kabisa; akatende ndani ya wigo wa kikatiba na kisheria vikamuongoze katika utendaji wake. Ateue washauri wazuri kuanzia waziri wa katiba na sheria, mwanasheria mkuu wa serikali, na maeneo mengine.Ninamuombea huyu mama awe jasiri na awe na uthubutu. Asichekee manyang'au.
YESU NI BWANA
alitoa ushauri kuwa watu wafanye mazoezi, wale matunda na kujifukiza. Kama vile haitoshi, akajipiga blanket na mumewe mbele ya kamera za waandishi wa habari ili dunia yote ione. In short huyu mama amepwaya kwenye hiyo wizara kupita maelezo.... kubwa zaidi ni kushindwa kuishauri vyema Serikali kuhusu hatua sahihi za kuchukua dhidi ya janga la COVID-19; ona sasa lilivyomaliza viongozi na wapendwa wetu. Kama alishauri hakusikilizwa alipaswa kujiuzulu!
... huyu alitakiwa afukuzwe muda uleule akiwa ndani ya blanket na mumewe wakionesha dunia ujinga wao! That's not a professional way to combat COVID-19!alitoa ushauri kuwa watu wafanye mazoezi, wale matunda na kujifukiza. Kama vile haitoshi, akajipiga blanket na mumewe mbele ya kamera za waandishi wa habari ili dunia yote ione. In short huyu mama amepwaya kwenye hiyo wizara kupita maelezo.
Yani kila alichokikosa kwenye utendaji alikifidia na maneno ya shombo na kutaka kumfurahisha aliyemteua, kusahau ya kwamba ana wajibu kwa wananchi wote wa Tz.
Ni kweli kabisa. Ummy hakuwahi kuwa na mhemko alipokuwa akitoa report, akitembelea sehemu. Lakini huyu mama kila sehemu anayokwenda nusu saa nzima hutumika katika kutishia watu kuwa yeye ana akili zaidi. Anauliza swali kabla hajajibiwa anajijibu mwenyewe. Ni swala la wakati tu, ipo siku ataruka sarakasi kama Bruce Lee ili tu ku prove point kuwa yeye ni Field Marshall.Arudishwe Ummy wizara ya afya alikuwa serious kukabiliana na corona mpaka ikapotea.