Ushauri kwa Rais Samia "Dhibiti uhuru kwa Wajinga, Watakwamisha Mipango ya Maendeleo ya Nchi"

SASA wakikuzibiti utaongelea wapi mjinga wewe Pia........maana wajinga Sisi tukizinduka hapatawaliki tena ....patakua kama somalia
 
Walioendelea wameifunga Nchi kwenye midomo ya wajinga ila hawaja compromise Uchumi wala sera za biashara..

Egypt huwezi Kuta huu upuuzi
Kuifungua nchi nafikiri Rais Samia alimanisha zaidi kwenye biashara na uwekezaji
Maana biashara na nchi jirani ilikuwa inaenda kufa na pia uwekezaji ulishuka sana, nafikiri pia alimaanisha uhuru wa kujieleza
Hicho unachoshauri vigumu sana kutekeleza, atazima mitandao? Hata akizima watu wataweza kui access tu, au ndio atakuwa anakamata watu wanaomtukana Facebook?

Samia achape kazi tu, hawa wachache tunaomuelewa tunatosha
 
Mkuu The sunk!Kama una orodha ya bei za mafuta kwa nchi za Afrika kwa mwezi huu,naomba.
Bei hizi hapa 👇

20220507_122014.jpg
 
Unataka kumpotosha mama wewe. Unatolea mfano wa Misri ambayo tulishuhudia wananchi wanamng'oa Rais dikteta Hosni Mubarak, ndo unataka yahamie huku!!
Hata hiyo Rwanda mnayoitolea mfano haiko stable Kama unavyofikiria,suala la muda tu,mtu kufikiri ana akili kuliko wote,na yeye ndo Rwanda na bila yeye Rwanda haipo, leo Kagame yakitokea Kama ya Magufuli, nini kitatokea? Angalau ungeitaja South Africa au Ghana.
 
Nawasalimu wanajukwa kwa jina la JMT..

Leo naomba kutoa ushauri ambao pengine wengi wasiupende ila ndio ukweli wenyewe..

Ni hivi,ushahidi unaonyesha Nchi zote zikizoendelea kuanzia Asia,Ulaya,Middle East na Marekeni zilikuwa na maskini na wajinga wengi sana miaka hiyo yakiwa Mataifa machanga..

Nchi hizo zilipitia nyakati tofauti tofauti ngumu kama kupigana,kupinduana na sheria ngumu za Ki Imla..

Wakati wanafanya hivyo hawakuwa wajinga bali walifanya hivyo makusudi Ili ziweze kusonga mbele kinaendelea..mfano ni Korea Kusini,China,Indonesia,Phillipines,Ghana nk nk..

Kwa kutumia mifano Hiyo ya Historia ni vizuri tukajifunza..

Leo hii afya ya uchumi wa Dunia ni mbaya ,iliathiriwa na covid 19,ukame na mafuriko na Sasa janga la Vita ya Ukr vs Russia.Mambk hata Kwa pamoja yalivuruga mfumo mzima wa uzalishaji Duniani hivyo kuleta mfumuko mkubwa kwa kila Nchi Duniani..

Kwa Hapa Africa,athari ni kubwa Sana kwa sababu Chumi zetu ni ndogo na tegemezi..Kila serikali imechukua juhudi kadhaa Ili kukabiliana na athari lakini Bado hazijaleta tija Sana.

Lakini kwa Tanzania kuna spesho case,licha ya watu kuelezwa kuwa haya mambo hayasababishwa na Serikali watu hawaelewi..

Licha ya Serikali kuchukua hatua za hapa na pale Kwa tahadhari kubwa Ili kusaidia jamii lakini watu hawaelewi na wanatukana,kubeza na kueneza propaganda za chuki kwa makusidi kwa njia ya mitandao..

Sasa natoa tuu ushauri,hakuna demokrasia inayoweza kufanya Kazi kwa watu wajinga na maskini na hakuna uhuru wa kujieleza kwa watu wasioelimika na kustaarabika..Ili demokrasia na freedom of expression ifanye Kazi lazima jamii iwe imeelimika..

Kinyume na hapo Watakwamisha Mipango ya serikali na wanaweza kuyumbisha na kuhatarisha amani ya Nchi.Ni rainyangu kwa Serikali ya mama kuchukua hatua sasa za kudhibiti huo uhuru wa Maoni uliogeuka uchochezi na tool ya kueneza chuki..hii ni tahadhari tuu..

Mwl.Nyerere alifanya hivyo,Magufyalifanya hivyo,Rais wa Misri anafanya hivyo,Rwanda,Uganda nao wanafanya hivyo..

Ni juszi tuu hapo Rais wa Senegal Macky Sall aliyechaguliwa kidemokrasia ametangaza kudhibiti hiki kinachoitwa uhuru wa Maoni huku mitandaoni baada ya kuona madhara iliyoleta kwa Nchi..

Hakunaga maendeleo bila gharama ya kulipa,ni kweli Hali ya maisha ni ngumu lakini sera za serikali bado ziko rafiki ila mkiendelea kuchukua hatua kwa shinikizo la nje na mihemko Kisa watu wanapost na kuongea ujinga mitandaoni hakuna cha maana Nchi itafanya..

So long as Sera ya serikali ni kuleta maendeleo na you don't compromise economic policy au biashara,nashauri Dhibiti sasa uhuru wa Maoni wa kijinga Ili kutoa nafasi ya serikali kutekeleza mipango kadiri inavyotakikana..Uhuru utafuata Nchi ikishaendelea na jamii kuwa na ustaarabu..

Jamii yenye sifa hizi hapa chini haihitaji huo uhuru wa Maoni 👇

View attachment 2218740

View attachment 2218742

View attachment 2218744

View attachment 2218745
Kama uko serikali, acha kazi uingie mtaani ndio uanze kutoa huu ushauri. Kwa bahati mbaya, watu wengi wakikaa ofisi za umma, wanajipa hadhi na nafasi ambazo wala hawana. Za kukemea, kuwaadhibu na hata kuwadhibiti wale wanaouliza jinsi kodin zao zinavyotumika.
Wananchi wanajisikia vibaya wanaposikia wizi, ubadhilifu na kila aina ya ufujaji wa mali ya umma. Na kibaya hakuna lolote linatokea kwa wanaofanya hivyo.
Trust me, watanzania wote ni sawa. Mwenyezi Mungu aliyetupa Tanzania ndio ana hatima yetu, kama kwa hila baadhi yetu wanataka kuwa maboss bila kupewa title hiyo.
Kifupi, acha kumdanganya Rais. Muache afikiri na kutafakari namna nzuri ya kuwasaidia wanaolalamika. Wewe sio Rais
 
Mimi namuunga mkono mama mia kwa mia lakini napingana na mtazamo wako.

Wajinga wacha waongee ili ujinga wao uweze kujurikana.

Jana Rais amekutana na kiongozi mkuu wa chama kikuu cha upinzani Chadema Freeman Mbowe na kujadiliana maswala muhimu ya kitaifa, hivi ndivyo nchi inavyoongozwa na utawala bora ulivyo.

Mama watakuja kumkumbuka akishamaliza muda wake ndivyo Watanzania walivyo.

Kama ulikuwa na umri wa kujitambuwa wakati Mwinyi akiwa Rais wa nchi alipewa kila aina ya majina mabaya na sifa zote mbaya bila watu kufikiria Mwinyi alikabidhiwa nchi na Nyerere baada ya kumshinda ndio zigo akaangushiwa Mwinyi tukaacha kuvaa midabwada na kununuwa sukari kwa foleni ugawaji tena uwe na daftari la mgao, vitu vikaanza kuonekana madukani na milango ya fursa akaifunguwa, ila aliambulia matusi tu ndio shukrani yake, lakini leo watu wanamkumbuka na Mungu alivyo fundi amempa maisha marefu.

Haya ndio yanayotokea kwa mama, ghafla watu waliokuwa wanaishi kama wapo North Korea wameshayasahau yote madhila waliyokuwanayo kwenye utawala wa kifashisti wa awamu ya tano.

Cha umuhimu ukumbuke hata Musa alitumwa na Mungu kuwatowa Waisrael utumwani kuwapeleka nchi ya ahadi kaanani lakini njiani walianza kumdhiaki bora awarudishe utumwani Misri.

Ni kipi kinachokushangaza?
Kina nani walikuwa wanaishi kama wako north korea?
 
Watu hawamuelewi Mama kutokea huku mitaani na si kwenye mitandao tu, binafsi sijawahi kukutana na mtu mwenye kumuelewa Samia huku mtaani labda huku mitandaoni.
Waulize sasa utasikia wakija na sababu za kisenge..

Hao hao wa mitaani ndio wa mitandaoni,sasa huwezi shindana na wajinga wakiwa wengi,ni kupigwa ban tuu Ili upate nafasi ya kusogeza Taifa mbele.
 
Nawasalimu wanajukwa kwa jina la JMT..

Leo naomba kutoa ushauri ambao pengine wengi wasiupende ila ndio ukweli wenyewe..

Ni hivi,ushahidi unaonyesha Nchi zote zikizoendelea kuanzia Asia,Ulaya,Middle East na Marekeni zilikuwa na maskini na wajinga wengi sana miaka hiyo yakiwa Mataifa machanga..

Nchi hizo zilipitia nyakati tofauti tofauti ngumu kama kupigana,kupinduana na sheria ngumu za Ki Imla.

Wakati wanafanya hivyo hawakuwa wajinga bali walifanya hivyo makusudi Ili ziweze kusonga mbele kinaendelea..mfano ni Korea Kusini, China, Indonesia, Phillipines, Ghana nk nk.

Kwa kutumia mifano Hiyo ya Historia ni vizuri tukajifunza.

Leo hii afya ya uchumi wa Dunia ni mbaya ,iliathiriwa na covid 19, ukame na mafuriko na Sasa janga la Vita ya Ukr vs Russia.Mambk hata Kwa pamoja yalivuruga mfumo mzima wa uzalishaji Duniani hivyo kuleta mfumuko mkubwa kwa kila Nchi Duniani.

Kwa Hapa Africa,athari ni kubwa Sana kwa sababu Chumi zetu ni ndogo na tegemezi..Kila serikali imechukua juhudi kadhaa Ili kukabiliana na athari lakini Bado hazijaleta tija Sana.

Lakini kwa Tanzania kuna spesho case, licha ya watu kuelezwa kuwa haya mambo hayasababishwa na Serikali watu hawaelewi..

Licha ya Serikali kuchukua hatua za hapa na pale Kwa tahadhari kubwa Ili kusaidia jamii lakini watu hawaelewi na wanatukana,kubeza na kueneza propaganda za chuki kwa makusidi kwa njia ya mitandao.

Sasa natoa tuu ushauri,hakuna demokrasia inayoweza kufanya Kazi kwa watu wajinga na maskini na hakuna uhuru wa kujieleza kwa watu wasioelimika na kustaarabika..Ili demokrasia na freedom of expression ifanye Kazi lazima jamii iwe imeelimika.

Kinyume na hapo Watakwamisha Mipango ya serikali na wanaweza kuyumbisha na kuhatarisha amani ya Nchi.Ni rainyangu kwa Serikali ya mama kuchukua hatua sasa za kudhibiti huo uhuru wa Maoni uliogeuka uchochezi na tool ya kueneza chuki..hii ni tahadhari tuu..

Mwl.Nyerere alifanya hivyo,Magufyalifanya hivyo,Rais wa Misri anafanya hivyo,Rwanda,Uganda nao wanafanya hivyo.

Ni juszi tuu hapo Rais wa Senegal Macky Sall aliyechaguliwa kidemokrasia ametangaza kudhibiti hiki kinachoitwa uhuru wa Maoni huku mitandaoni baada ya kuona madhara iliyoleta kwa Nchi.

Hakunaga maendeleo bila gharama ya kulipa,ni kweli Hali ya maisha ni ngumu lakini sera za serikali bado ziko rafiki ila mkiendelea kuchukua hatua kwa shinikizo la nje na mihemko Kisa watu wanapost na kuongea ujinga mitandaoni hakuna cha maana Nchi itafanya..

So long as Sera ya serikali ni kuleta maendeleo na you don't compromise economic policy au biashara, nashauri Dhibiti sasa uhuru wa Maoni wa kijinga Ili kutoa nafasi ya serikali kutekeleza mipango kadiri inavyotakikana..Uhuru utafuata Nchi ikishaendelea na jamii kuwa na ustaarabu..

Jamii yenye sifa hizi hapa chini haihitaji huo uhuru wa Maoni 👇

View attachment 2218740

View attachment 2218742

View attachment 2218744

View attachment 2218745
WAJINGA wanaelimishwa au WANADHIBITIWA? Nina walakini kama ni Kweli unamaanisha WAJINGA waeza kuwa unawalenga wengine wasio wajinga.😠😠.
 
Umeongea upuuzi
 
Kwa kutaja yule dictator eti kama mfano mzuri, nimesha itupa dampo post yako
 
Leo huyu ndg kamsifia Magu saafi... Ndio Uhuru wowote bila nidhamu ni htr .. Kuna mada ilikuwa inajadili msafara wa Rais - ndani yake ikawa ni mjadala wa mpango mbinu wa uli nz wa taasisi (idadi yavmagari watu nk) htr sana
 
Back
Top Bottom