Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,271
- 51,682
Kuna chama kiliwaahidi kuwasomesha bureSasa wewe fyatua watoto 5+ na mshahara wako wa chini ya laki 6 ndio kina mpwayugu wanakuja kukuwakia
Kuna chama kiliwaahidi kuwasomesha bureSasa wewe fyatua watoto 5+ na mshahara wako wa chini ya laki 6 ndio kina mpwayugu wanakuja kukuwakia
KwaniniKama ni mtu unayejitambua hakikisha hukosi watoto zaidi ya 4
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hatimaye uchunguzi umebaini kuwa wewe ni Mwalimu mwenye elimu ya Diploma. Tunakusaka tukufungulie mashitaka. Unawachochea wenzio kwa kutumia Saikolojia. Lengo waigomee serikali, jamii na watu wengine. Usirudie tena kufanya uchochezi, kada zote serikalini ni sawa tu. ACHA UCHOCHEZI. Serikali ina mkono mrefu na haupo salama hapo ulipo mpwayungu villageHakuna maendeleo Kwa hawa kuku bila kutafuta uhuru wao kwanza. No freedom no development, hata babu zetu walikuwa matajiri wanamiliki ng'ombe, mashamba na mazao ya kutosha lakini hawakuona faida yoyote ikiwa bado wapo chini ya mkoloni, wakaamua kustisha rasilimali zao wakapambana kumtoa mkoroni ili wawe huru
Mtu anakopa laki 7 anakuja kukatwa milioni 3[emoji1787][emoji1787]Nakazia hapo Namba. 6. Hizi microfinance sio poa kabisa huku mtaani kwetu wanawaita "KAUSHA DAMU[emoji23]" ukichelewesha rejesho wanatimba nyumbani kwako kukudai
Weee "mkoroni" ndiyo nini hiki?Hakuna maendeleo Kwa hawa kuku bila kutafuta uhuru wao kwanza. No freedom no development, hata babu zetu walikuwa matajiri wanamiliki ng'ombe, mashamba na mazao ya kutosha lakini hawakuona faida yoyote ikiwa bado wapo chini ya mkoloni, wakaamua kustisha rasilimali zao wakapambana kumtoa mkoroni ili wawe huru
Walimu wanasemwa sanaHii miongozo ni kwa wote na siyo Walimu pekee...
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...Walimu wanasemwa sana
Ukiwa mfanya biashara lazima uwe na nidhamu ya pesa , usipokuwa na nidhamu utarudi nyumban bila kupenda.Watumishi wanahela nyingi kuliko wafanyabiashara lakini wafanyabiashara Wana maendeleo kuliko watumishi
True watumishi hawana nidhamu ya pesaUkiwa mfanya biashara lazima uwe na nidhamu ya pesa , usipokuwa na nidhamu utarudi nyumban bila kupenda.