USHAURI KWA MWIGULU NCHEMBA

darcity

JF-Expert Member
Jul 20, 2009
9,052
17,974
Picha hii zinajieleza, moja wakati unaapishwa na nyingine wakati anaapishwa IGP mpya siro.

Mwigulu-Nchemba-na-Rais-Magufuli.jpg


Bashasha,tabasamu,matumaini na mategemeo makubwa kwamba utafanya kile anachohitaji.



18.jpg


Umbo la midomo, kutazama pembeni, uwekaji wa macho na uso unaonyesha wazi kiwango kikubwa cha kutoridhishwa na kutokubaliana nawe. Pengine na maapizo ya kukutafutia nafasi muafaka!

Ni wakati wa kuruka kabla ya kurushwa. Heshima yako ibaki pale pale bila neno kutumbuliwa kuharibu fikra zako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom