Nikianzaga kusikiliza playlist ya Konde boy basi hua nainjoy Sana...Jamaaa anaimbaaaa aiseee
Huu ni ushauri kwa Harmonize
View attachment 2869848
1.punguza Bangi
2.Kuwa na creativity upande wa collabo.. Achana na wasanii wa hapahapa.. Mtafute hata lilbaby piga nae collabo la Karne.
3.OA
4.Hakikisha hauwasiliani na Diamond. Vimba.
5.Mwezi wa 9 mwaka huu Usisafiri.
Yangu ni hayo tu... Ukiona naandika kitu ujue tiyari Nina mafile yako.
Wewe ni kioo cha jamii.... Badilika
WoteNikianzaga kusikiliza playlist ya Konde boy basi hua nainjoy Sana...
Single again
Nimependa tena
Namficha
Mwaka wangu
My way
Bakhresa
Naogopa
Follow me
Mtaje
Amelowa...
Kwamba huyu dogo anaongea vizuri na diamond?Jamaaa anaimbaaaa aiseee ππππ
Huu ni ushauri kwa Harmonize
View attachment 2869848
1.punguza Bangi
2.Kuwa na creativity upande wa collabo.. Achana na wasanii wa hapahapa.. Mtafute hata lilbaby piga nae collabo la Karne.
3.OA
4.Hakikisha hauwasiliani na Diamond. Vimba.
5.Mwezi wa 9 mwaka huu Usisafiri.
Yangu ni hayo tu... Ukiona naandika kitu ujue tiyari Nina mafile yako.
Wewe ni kioo cha jamii.... Badilika πΉπΏ
Kwani kutoboa mpaka uwe na media??Tatizo ni kuwa hana media
Mi kidogo bongo fleva utanipata Sasa Kuna Ile takataka inaitwa bongo movie.Daah kila mtu na kipendacho roho. Yaani mimi kwenye bongo fleva hunipati kabisa. Labda kidogo nisikilize za kitambo kama Xplastaz, Watengwa, Jay Mo nk.
Haijaruusiwa nchini kwetuAsipopromote bhangi ulitaka nani apromote
Imeruhusiwa kwenye mediaHaijaruusiwa nchini kwetu
#Visitjamaica
Mh I'm big African super star, From mtwara city boy go far.Jamaaa anaimbaaaa aiseee
Huu ni ushauri kwa Harmonize
1. Punguza Bangi
2. Kuwa na creativity upande wa collabo. Achana na wasanii wa hapahapa. Mtafute hata lilbaby piga nae collabo la Karne.
3. Oa
4. Hakikisha hauwasiliani na Diamond. Vimba.
5. Mwezi wa 9 mwaka huu Usisafiri.
Yangu ni hayo tu. Ukiona naandika kitu ujue tiyari Nina mafile yako. Wewe ni kioo cha jamii. Badilika
View attachment 2869848
mwezi wa 9 usisafiri imekaa kishirikina sana.... wanaona mpaka fyucha hawa viumbe"...MWEZI WA 9 MWAKA HUU USISAFIRI....."
YAANZAGA HIVIHIVI BAADAE WATU WANAKUJA KUFUKUA MAKABURI
πππmwezi wa 9 usisafiri imekaa kishirikina sana.... wanaona mpaka fyucha hawa viumbe