Ushauri kwa mliochaguliwa vyuo vikuu

Ushauri kwa mliochaguliwa vyuo vikuu

Ww ndo umewadharau masela kwa kuita vyuo vya kijinga na maneno kibao ya shombo nahisi una Master In Cooking

Unauma halafu unapuliza
Mbona hiyo ID inaonyesha wewe ni mtu wa namna gani!

Nyie si ndo masharobalo niliewapa makavu hapo juu?

Ndio vipo vyuo visivyokua na hadhi na tuna watoto wanasoma huko wanatuambia zinavyotolewa maksi za bure! tena wajua sababu ya kufungwa st joseph wewe?

Dogo kale bangi na mademu halafu baada ya miaka 3 utuletee mrejesho wa mafanikio yako.
 
Tushaambiwa na wazaz etu tumeelewa ila ww mwenye hii thread hvyo vyuo vya kjnga ulvyosema wavijua inaa maana hao TCU waliovptisha hvyo vyuo vidahili wanafunz ni wajnga pia
 
Nyie madogo kuweni wastaarabu huko vyuoni mtaenda tuu.
Mpunguze minyuzi yenu itajazia server zetu hapa. Hao marafiki mnaowataka mtakutana huko vyuoni tena mtakata tamaa ya kufahamiana.

Huko vyuoni nako ugumu upo, kuna ku carry, sup halafu usiombe disco.
Kero za mkopo nazo mtakumbana nazo mara kibao halafu mkopo wenyewe ni wa kukopeshwa na utarudisha na riba juu.

Kuweni wapole bwana, tulieni mjiandae kuanza masomo yenu vyema.

Sio unakuta jitu linakuna midevu huku linawaza mademu, pombe, club na boom! nakuhakikishia utadisco mapema sana. lla kwa vile vyuo vya kijinga mnaweza kujiachia sana huko na mtambue mkirudi huko chuoni weupe msitegemee kufanya kazi kwa ustadi kazini ppengine msipate ajira kabisa. Siku hizi wanachukuliwa watu wenye akili kubwa na sio nyie mavilaza mtakao graduates vyuo venu vya kijinga.

Nyie watu msome kwa bidii na muwe na nidhamu.

LA MWISHONI NAPENDA KUWAAMBIA

MTANGULIZENI MUNGU KWA KILA JAMBO.

Pia muombe awasamehe makosa yenu maana hakuna alietimilifu. Mpate kilichowapeleka humu na kujiwekea nafsi nzuri ya mafanikio zaidi.
Awaepushe na ajali na magonjwa na vishawishi vyote vya shetani.

UKIMWI UPO!

Msidanganywe na nyuso nzuri zilizo nawiri za wadada, wamama, wakaka au wababa! mtaangamia mara moja.
Someni kwa bidii wadogo zetu. Acheni ngono isiwatawale. Wenzio tumemaliza chuo miaka kadhaa ya nyuma tuna uzoefu wa hayo mambo, wengi tumeshawafukia. Msiaminiane! hakuna uaminifu chuo kikuu kabisa hata kwa wale wanaojikuta wametulia!
Kumbuka maji yaliyotulia ndio huzamisha.
Kuweni wapole huko vyuoni, msichanganywe na mazingiza na ubishoo wa kijinga. Wale masharobaro nawaonea huruma sana. Kama ulibahatika kununua iPhone 5s mbovu basi chuo hutaiona. Ukijikuta unajua kutendema na mademu wajanja nakuahidi pesa ya ada utakula na uta graduate mwaka wa kwanza pia ukimwi utaupata tuu.
Na maisha yakikuendea vibaya zaidi uta afektika kisaikolojia na utakua shoga. Maana kama mwanamke anajiuza basi na wewe utajiuza kwa sababu vyote vinapendwa na makafiri waliotukuka.



MUWE MNAWEKA AKIBA.
Kwa wadada na wakaka! muwe mnatunza pesa na kwa wale watuwazima wenye experience na maisha muwaelimishe hawa wadogo zenu.

Wale MARIO (wanaume wanaopenda pesa za wanawake hasa ma sugarmummy)na akina dada wanaotembea na watu wazima mutambue ukimwi utawachukua tuu.

Natanguliza pongezi zangu kwa kuchaguliwa vyuo vikuu.

Mkuu Ahsante kwa kutuelimisha.
Maana nilvyokua nimepania kuwafunua sket.
Ngoja nikatulie tu
 
Jamani nimedisco hata chuo sijaenda? Tamko linaweza toka kuwa sistahili hata mkopo
semista ya kwanza hoi na mkopo umepewa utazuga semista ya pili ila unakuwa usha disko noma sana......
 
Back
Top Bottom