God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,062
Nyie madogo kuweni wastaarabu huko vyuoni mtaenda tuu.
Mpunguze minyuzi yenu itajazia server zetu hapa. Hao marafiki mnaowataka mtakutana huko vyuoni tena mtakata tamaa ya kufahamiana.
Huko vyuoni nako ugumu upo, kuna ku carry, sup halafu usiombe disco.
Kero za mkopo nazo mtakumbana nazo mara kibao halafu mkopo wenyewe ni wa kukopeshwa na utarudisha na riba juu.
Kuweni wapole bwana, tulieni mjiandae kuanza masomo yenu vyema.
Sio unakuta jitu linakuna midevu huku linawaza mademu, pombe, club na boom! nakuhakikishia utadisco mapema sana. lla kwa vile vyuo vya kijinga mnaweza kujiachia sana huko na mtambue mkirudi huko chuoni weupe msitegemee kufanya kazi kwa ustadi kazini ppengine msipate ajira kabisa. Siku hizi wanachukuliwa watu wenye akili kubwa pia walio competent so vijana msiplay theoretical part tuu bali fanyeni na practical part ili muweze ku face audience na kufanya mambo yenye tija.
Tatizo la kutokuongea mbele za watu ni kikwazo kazini pia utashindwa kuwa treaty walengwa inavyostahili.
Muwe na leadership style na confidence ya kutosha.
Tengenezeni link kibao na kujitangaza na kuonyesha talents zenu ili mpate ajira. Siku hizi serikalini kugumu na hajira hamna kabisa. Kwa hiyo mujiweke karibu na makampuni na sekta kadhaa.
Tengenezeni GPA nzuri pia.
Epukeni fujo huko vyuoni na ulevi/uvutaji bangi/madawa ya kulevya! hamtafika mbali nawambieni.
Nyie watu msome kwa bidii na muwe na nidhamu.
LA MWISHONI NAPENDA KUWAAMBIA
MTANGULIZENI MUNGU KWA KILA JAMBO.
Pia muombe awasamehe makosa yenu maana hakuna alietimilifu. Mpate kilichowapeleka humu na kujiwekea nafsi nzuri ya mafanikio zaidi.
Awaepushe na ajali na magonjwa na vishawishi vyote vya shetani.
UKIMWI UPO!
Msidanganywe na nyuso nzuri zilizo nawiri za wadada, wamama, wakaka au wababa! mtaangamia mara moja.
Someni kwa bidii wadogo zetu. Acheni ngono isiwatawale. Wenzio tumemaliza chuo miaka kadhaa ya nyuma tuna uzoefu wa hayo mambo, wengi tumeshawafukia. Msiaminiane! hakuna uaminifu chuo kikuu kabisa hata kwa wale wanaojikuta wametulia!
Kumbuka maji yaliyotulia ndio huzamisha.
Kuweni wapole huko vyuoni, msichanganywe na mazingiza na ubishoo wa kijinga. Wale masharobaro nawaonea huruma sana. Kama ulibahatika kununua iPhone 5s mbovu basi chuo hutaiona. Ukijikuta unajua kutendema na mademu wajanja nakuahidi pesa ya ada utakula na uta graduate mwaka wa kwanza pia ukimwi utaupata tuu.
Na maisha yakikuendea vibaya zaidi uta afektika kisaikolojia na utakua shoga. Maana kama mwanamke anajiuza basi na wewe utajiuza kwa sababu vyote vinapendwa na makafiri waliotukuka.
MUWE MNAWEKA AKIBA.
Kwa wadada na wakaka! muwe mnatunza pesa na kwa wale watuwazima wenye experience na maisha muwaelimishe hawa wadogo zenu.
Wale MARIO (wanaume wanaopenda pesa za wanawake hasa ma sugarmummy)na akina dada wanaotembea na watu wazima mutambue ukimwi utawachukua tuu.
Natanguliza pongezi zangu kwa kuchaguliwa vyuo vikuu.