Huyu jamaa ningekuwa mimi rais ningempa kazi ya kuwa mshauri wake kuna siku tuliwahi kufanya nae kazi sehemu asee nilimkubali sanaDACHI NDIO MWENYEWE
Ni Orest Kawau....mimi mwenyewe nilishawahi kuleta thread kumuhusu Mkambala anaharibu Sana kipindi, kujifanya kila kitu anajua yeye Mara michezo anajua yeye Mara siasa kumbe anaongea pumba tupuNamkubali na yule mdada Mzerikwao, Kibwana Dachi na kaka mwingine jina limenitoka lakini akianza kuongea Mkambala huwa na- mute voice nategeshea akimaliza naongeza volume. Sijui kwanini wasimuondoe hapo anaboa sana Mkambala eiseh!!
Ahsante Mkuu ni Orest.Ni Orest Kawau....mimi mwenyewe nilishawahi kuleta thread kumuhusu Mkambala anaharibu Sana kipindi, kujifanya kila kitu anajua yeye Mara michezo anajua yeye Mara siasa kumbe anaongea pumba tupu
Kila mara unamwandama sana Mkambala itakuwa alishawahi kukutafuna au alishatafuna mke wako
Ni Orest Kawau....mimi mwenyewe nilishawahi kuleta thread kumuhusu Mkambala anaharibu Sana kipindi, kujifanya kila kitu anajua yeye Mara michezo anajua yeye Mara siasa kumbe anaongea pumba tupu