Glorelly
Member
- Feb 8, 2012
- 12
- 9
KAMA ULIVYOTOLEWA NA DR. B. M. MOHAMED:
ENDELEA.........
"HIVI NDIVYO ALIVYOWAHI KUSEMA MH ZITTO KATIKA MAHOJIANO NA MWAKILISHI WA WANAJAMII FORUM MNAMO TAREHE 22 NONEMBA, 2012. NA MAONI YANGU KWA ZITTO NI HAYA HAPA CHINI:
Mwakilishi: Vipi madai kuwa unatumwa na CCM ili kupunguza nguvu ya CHADEMA? Kama si kweli unadhani kwanini watu wanakuona kama pandikizi ndani ya CHADEMA?
Zitto: Baadhi ya watu wanapandikiza chuki hizi kwa sababu zao wenyewe. Hawanisumbui maana najua ni kikundi kidogo cha watu wachache wenye malengo yao ovu. Wajue tu kwamba hawawezi kuwadanganya Watanzania ambao wanafanya maamuzi yao sio tokana na propaganda ila kutokana na matendo ya kila mmoja.
Onyo: Watu hao hawawezi kummaliza Zitto kisiasa bila kuiathiri CHADEMA maana the imaage of Zitto is so intimately intertwined with CHADEMA that you couldnt attack Zitto without jeopardizing the image of Chadema, and vice versa.
Wanaoeneza sumu hii hawana nia njema wala mapenzi na CHADEMA. Hawaelewi siasa. Wanafurahisha maadui wa CHADEMA. Maadui wanawachochea kwa kuwapa habari za uwongo na wao wanadhani watammaliza Zitto. Huwezi kummaliza Zitto bila kuiathiri CHADEMA. Hawatafanikiwa.
Mwakilishi: Ni kweli kuwa una mkakati wa kuhamia CCM kabla ya 2015?
Zitto: Sijawahi wala kufikiria kuhamia CCM. Kama nilivyosema hapo awali, sijawahi kuwa mwanachama wa chama kingine chochote tofauti na CHADEMA. Namwomba mungu kuwa niondoke duniani nikiwa chama hiki hiki. Siamini katika kuhama vyama. Ninaamini katika mfumo imara wa vyama vingi nchini. Ninaamini katika demokrasia pana.
Maoni yangu kwa Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe, kwa kuzingatia majibu yake katika sehemu ya majibu yake ya tarehe 22 Nov, 2012 na maamuzi ya Kamati kuu ya CDM ya tarehe 22/11/13.
1. Wewe ukiwa ni mwanachama muhimu ambaye unatambua hila za baadhi ya watu kupandikiza chuki ili kuiathiri CHADEMA ni vema ukubaliane na maamuzi ya kamati kuu ya CDM kukuvua nyadhifa za uongozi, ili kutowapa fursa maadui wa CDM.
2. Pili pamoja na mchango wako mkubwa katika CDM ni vema utambue kuwa CDM kinaundwa na watu makini ambao mmekuwa mkishirikiana pamoja kwa kiwango cha juu (kabla ya wingu la kutiliana mashaka) kukijenga na kukiimarisha chama. Hivyo nadhani hata bila wewe chama kitazidi kuimarika na kusonga mbele.
3. Kama kweli unakipenda CDM(nguvu ya umma) kwa dhati ya moyo wako basi huna budi kuwapenda pia wanachadema wenzako na kuwa tayari kuheshimu maamuzi ya kamati kuu ya CDM ambayo inakufahamu fika(kuliko sisi). Ningekuwa mimi ndo wewe ningejitetea na kukiri madhaifu yangu na hata kuomba radhi inapobidi na kuomba niendelee kuwa mwanachama wa kawaida wa CDM nikiwa na nyadhifa zingine kama mbunge na mwenyekiti wa PAC.
4. Ni vema uwe mvumilivu kwani kama nia yako ni kuwa kiongozi wa nchi kupitia CDM, wana CHADEMA na Watanzania kwa ujumla watakutaka katika nafasi hiyo katika muda muafaka. Just have faith and work hard with your fellow CDM members to strenghthen the party that is bringing the new hope to the majority of frustruted Tanzanians."
Mwisho wa Nukuu.