Goldman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2010
- 1,930
- 2,406
Zitto ktk cdm uliyofanya mengi ni mema kuliko hayo mabaya wanayosema kama ni kweli au si kweli ww ndo unaelewa zaidi, pia kumbuka alishawahi sema Mwalimu ccm siyo mama yake nawe vilevile cdm siyo mama yako kama hawakutaki na kweli hawakutaki, wameshindwa tuu kusema wanakuvua uanachama wa chama uliochopigana nacho haswa lkn wengine wanatatizwa na ww kwa nini unataka uenyekiti! wakati ni haki yako ya msingi.
Nimesoma huo waraka wanaosema umetumika kama evidence ya kukutoa sijaona la maana zaidi ya kujipanga kwa watu wenye akili zao washinde uchaguzi. Namalizia cdm siyo Mama yako unaweza chagua kupigana nao humo humo ingawa wanakuchosha au kutoka na kupigana ukiwa nje, hii yote ni ile movie ya marehemu Chacha Wangwe kwamba hautakiwi kuuliza maswali kuhusu mwenyekiti!