GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,761
- 128,259
Nikiangalia juhudi za huyu kijana anaitwa Ruge Mtahabwa katika kuunganisha Taifa na hasa baada ya uchaguzi uliokuwa na vishindo na ambao haujawahi kushuhudiwa hapa nchini, na zaidi, juhudi zake katika kuwajenga vijana kwenye mambo ya ujasiliamali na ukweli kwamba wana beef (kama watoto wa Siku hizi wanavyosema) na mwenzake Paul Makonda (Bashite), Nashawishika kumshauri Mh Rais (kama Raia na Mtanzania Mwema) amteue huyu kijana (Ruge) kuwa mkuu wa mkoa na ikibidi amuweke hapo Pwani ili washindane katika kuwaletea watanzania Maendeleo badala ya hizi purukushani ambazo hazina maana.
Hivi hukuwa na option nyingine zaidi ya kutaka Ruge Mutahaba ' ateuliwe ' kuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani? Kwa akili hizi naanza kuona ugumu wa Kutukuka wa kuelekea katika Tanzania ya Viwanda na badala yake tunaelekea katika Tanzania ya ' Upopoma / Upumbavu '.