Mpumbafu kama wewe huwaza vyeo tu! Hawazi wala haumizi kichwa kuona nchi yetu ni tajiri ina raslimali kibao lakini watu wake wanaogelea ktk umaskini wa kutupwa! Yeye huwaza vyeo na pesa tu.SasaHapo naipata picha ya Makamba,mwigulu na zito kuwa roll modal wako! Wachumia tumbo kwako ndo mpango mzima! Jitambue na uache kutumika kijinga hivo
Ulitaka watuletee maisha bora eti? Yaani wajenge barabara zenye ubora,waboreshe mfumo wa elimu,walipe mishahara mizuri wafanyakazi wetu,waache kutoa misamaha ya kodi ovyo kwa wageni na wafanyabiashara wakubwa ambao ni makada wa ccm,waboreshe huduma za afya kwa kuwapatia madaktari vifaa bora vya tiba,wasimamie maslahi ya wakulima wa taifa hili,wadhibiti rushwa na wawachukulie hatua wezi na mafisadi wa mali za umma kama EPA,Meremeta na hawa wa ac ya Escrow, Kama ndivyo basi hawa CDM hawatufai kabisa! Jitambue.
Wewe kwa kutoa lugha za kipumbavu utakufa sio mda mrefu.Kwa kutoa laana za kipumbavu akafa mwenyewe!
ifweero, unanitishiaje kifo wakati kila mtu atakufa pamoja na wewe mwenyewe! mie siogopi kufa ila huwa naogopa sana kuumwa/kuugua hasa kuumwa magonjwa ya hovyo kama unayougua wewe! magojwa ya akili na ukosefu wa busara.Wewe kwa kutoa lugha za kipumbavu utakufa sio mda mrefu.
Duh! mbona humtakii mema kijana, kumfananisha na Mwigulu ni sawa na kumfananisha na shetani!aTAKUWA WAZIRI KAMA MWIGULU.
Ndo maana mm nina wasiwasi na elimu inayotolewa Tanzania. Ushauri wa namna hii ni outcomes of local and hopeless of our education. Mtu kama huyu eti inawezekana kwake anaitwa baba. Hv ndugu hujui kama Mnyika hivyo unavyomuona kwa sababu yuko chama tofauti na Magamba na akienda huku tu hutamsikia tena? Kama umekosa kazi kacheze na malaya wako kuliko kutuchefua hapa! Mtu mzimza hovyo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Regardless elimu yake, ni kijana mwenye mtizamo mzuri wa kisiasa na uelewa wa mambo hasa ya kisheria.
Sifungamani na chama chake ila namshauri awe mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi ana uwezo wa kusimamia Wizara tofauti na huko aliko anakosa pa kuonyesha uwezo na busara alizo nazo.
Katika vijana wote na viongozi wote waliopo CHADEMA, Mnyika pekee ndiye nayemkubali ila yeye KAKOSEA NJIA KUWA CHADEMA hebu toka huko ungana na kina January Makamba na kina Zitto Zuberi Kabwe mshike funguo za Taifa letu huko uliko wanakuchosha na kukudhoofisha afya na akili bure.
Ndo maana mm nina wasiwasi na elimu inayotolewa Tanzania. Ushauri wa namna hii ni outcomes of local and hopeless of our education. Mtu kama huyu eti inawezekana kwake anaitwa baba. Hv ndugu hujui kama Mnyika hivyo unavyomuona kwa sababu yuko chama tofauti na Magamba na akienda huku tu hutamsikia tena? Kama umekosa kazi kacheze na malaya wako kuliko kutuchefua hapa! Mtu mzimza hovyo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Regardless elimu yake, ni kijana mwenye mtizamo mzuri wa kisiasa na uelewa wa mambo hasa ya kisheria.
Sifungamani na chama chake ila namshauri awe mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi ana uwezo wa kusimamia Wizara tofauti na huko aliko anakosa pa kuonyesha uwezo na busara alizo nazo.
Katika vijana wote na viongozi wote waliopo CHADEMA, Mnyika pekee ndiye nayemkubali ila yeye KAKOSEA NJIA KUWA CHADEMA hebu toka huko ungana na kina January Makamba na kina Zitto Zuberi Kabwe mshike funguo za Taifa letu huko uliko wanakuchosha na kukudhoofisha afya na akili bure.
njoo nikuchezee wewe hadi ulainike.

Mnyika utaukumbuka ushauri huu.Regardless elimu yake, ni kijana mwenye mtizamo mzuri wa kisiasa na uelewa wa mambo hasa ya kisheria.
Sifungamani na chama chake ila namshauri awe mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi ana uwezo wa kusimamia Wizara tofauti na huko aliko anakosa pa kuonyesha uwezo na busara alizo nazo.
Katika vijana wote na viongozi wote waliopo CHADEMA, Mnyika pekee ndiye nayemkubali ila yeye KAKOSEA NJIA KUWA CHADEMA hebu toka huko ungana na kina January Makamba na kina Zitto Zuberi Kabwe mshike funguo za Taifa letu huko uliko wanakuchosha na kukudhoofisha afya na akili bure.
Hahaaa...mtela yule hamnazo anasoma ......Akija CCM, atapata fursa ya kujiendeleza kielimu kama akina Juliana Shonza anayesoma UDOM na Mtela Mwampamba anayesoma pale Kurasini kwenye chuo cha Diplomasia. CHADEMA inadumaza vijana kielimu kwa vile tu mwenyekiti wake hawapendi wasomi