mungu wenu anachekesha sana, yani yuko upande mmoja na JAMBAZI??? simuhitaji mungu wenu
Ukapimwe akili..! Huyu mheshimiwa huko arusha badala ya kupambana kuwaletea wananch wake maendeleo, hakuna kitu ni mipadho tu kwenye vombo vya habari
mungu wenu anachekesha sana, yani yuko upande mmoja na JAMBAZI??? simuhitaji mungu wenu
Mungu huyo mwenye mabawa ni mungu yupi ikiwa Mungu ailimuumba binaadam kwa mfano wake. Je wewe unamabawa?Kweli umenena mtu wa mungu kiukweli Alimlinda kwambawa zake mpaka wale wabaya wake wanaomba suluhu