Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,150
- 162,562
Mh.Kafulila,leo tena ikiwa ni mara ya tatu kama sikosei,nimekuona ukisisitiza ripoti inayohusu kashifa ya Escrow account iwasilishwe bungeni lakini majibu ya serikali ni yale yale kuwa ripoti haijakamilika.
Mh.mbunge, kama sikosei,uliripotiwa kupeleka barua ofisi ya katibu wa bunge ukikusudia kupeleka hoja binafsi ya kutokuwa na imani na serikali kuhusiana na namna serikali inavyoshughulikia swala hili.
Kwasababu hiyo basi,nadhani ni wakati muafaka sasa kwa wewe kuanza kukusanya sahihi za wabunge wenzako ili mchakato wa kumwajibisha waziri mkuu uanze mara moja.
Bwana Kafulila kinachofanywa sasa na serikali ni ku-buy time tu ili bunge hili muda wake upite na hata hiyo tarehe 27 inayotajwa kuwa ndio ripoti inaweza kuwasilishwa,nayo sidhani kama ni rasimi.
Mhehishimiwa,sasa kazi kwako,uamue kusuka au kunyoa.