Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,023
- 61,917
- Thread starter
-
- #41
ha ha ha hasahihi kabisa mm nawatafunaga wengi sana kwa style hiyo, hasa outing za usiku
Cc AsprinKama umempenda binti/mwanamke usimuulize kama ameolewa au ana mchumba.Chakufanya mtoe 'out',mnunulie zawadi,vyakula,vinywaji;mpe maneno mazuri mazuri ya utani wa hapa na pale ya kuchekesha,na pia mpatie fedha za matumizi....baada ya hapo, we subiria yeye mwenyewe afanye maamuzi.
Ni kweli mkuu,kama unatafuta mke hii staili haifai...unaweza kupata kitu feki kikagarimu maisha yote.Simply women's desires are not satisfied over a single night bro..you ave to go a long way to meet women's desire hususani kwa yule mwenye malengo nae na unajua ni lazima utumie all what you got kumpata
Wewe ni nani?Mie nitumie tu pesa then nitatafakari if am in a relationship or am single.
Katika process hizo usishangae unatekwa na watu wasiojulikana kumbe ni mme wake amewatuma. Kisa tu hukujiridhisha mapema kama ameolewa au la!Kama umempenda binti/mwanamke usimuulize kama ameolewa au ana mchumba.Chakufanya mtoe 'out',mnunulie zawadi,vyakula,vinywaji;mpe maneno mazuri mazuri ya utani wa hapa na pale ya kuchekesha,na pia mpatie fedha za matumizi....baada ya hapo, we subiria yeye mwenyewe afanye maamuzi.
ha ha ha ha walioko maofisini wengi wanatafunwa kwa mbinu hiziKatika process hizo usishangae unatekwa na watu wasiojulikana kumbe ni mme wake amewatuma. Kisa tu hukujiridhisha mapema kama ameolewa au la!
Itakuwa kuanzia form two mpaka VETA.
Mara ya mwisho nilikutana naye akiwa mjamzito. Nadhani atakuwa kajifunguaApo sawa. Hivi umenionea wapi Espy? Nimemtafuta mchana kutwa
Mara ya mwisho nilikutana naye akiwa mjamzito. Nadhani atakuwa kajifungua
Mimi ni mtu.Wewe ni nani?
Cc @espy
Mimi ni mtu.
Umemtafuta wapi?Apo sawa. Hivi umenionea wapi Espy? Nimemtafuta mchana kutwa
We kibabu unitue[emoji57][emoji57]Mara ya mwisho nilikutana naye akiwa mjamzito. Nadhani atakuwa kajifungua
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Mimba ya nani? Maana sikumbuki kumpiga mm mimba
Sitaki, we kila siku unanidanganya. Nimesusa.Sawa mama. Nimekupata. Njoo kule
Umemaanisha nn mm ndo fisi (mpenda hela) [emoji23][emoji23]Fisi --mlingishie Mfupa Tu
Umemaanisha nn mm ndo fisi (mpenda hela) [emoji23][emoji23]