Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,951
- 61,758
Duh..Kama umempenda binti/mwanamke usimuulize kama ameolewa au ana mchumba.Chakufanya mtoe 'out',mnunulie zawadi,vyakula,vinywaji;mpe maneno mazuri mazuri ya utani wa hapa na pale ya kuchekesha,na pia mpatie fedha za matumizi....baada ya hapo, we subiria yeye mwenyewe afanye maamuzi.
ha ha ha akiitikia wito wako wa kutoka 'out' ni ishara ya mwanzo kukuonyesha kuwa anajisimamia mwenyewe kwenye maamuziDuh..
Akikufanya danga huku ana mume si utaliwa kiboga!
ha ha ha ha mpe business card na wazo la kukutanaNdugu yangu labda wew unapata wa bei rahis sana.
Mim ninaowafuata at kujibu text tu mtihani.
Hii approach ni very probability it doesn't work like that....endelea kujidanganyaKama umempenda binti/mwanamke usimuulize kama ameolewa au ana mchumba.Chakufanya mtoe 'out',mnunulie zawadi,vyakula,vinywaji;mpe maneno mazuri mazuri ya utani wa hapa na pale ya kuchekesha,na pia mpatie fedha za matumizi....baada ya hapo, we subiria yeye mwenyewe afanye maamuzi.
Equation x wee nilijua wewe ni mutu ya hesabu,yani hesabu imelala kichwani..kumbe hata to calculate risk ni shida sana mkuuKama umempenda binti/mwanamke usimuulize kama ameolewa au ana mchumba.Chakufanya mtoe 'out',mnunulie zawadi,vyakula,vinywaji;mpe maneno mazuri mazuri ya utani wa hapa na pale ya kuchekesha,na pia mpatie fedha za matumizi....baada ya hapo, we subiria yeye mwenyewe afanye maamuzi.
Tatizo ni wabishi, wanaweza wasikuelewe.Kama umempenda binti/mwanamke usimuulize kama ameolewa au ana mchumba.Chakufanya mtoe 'out',mnunulie zawadi,vyakula,vinywaji;mpe maneno mazuri mazuri ya utani wa hapa na pale ya kuchekesha,na pia mpatie fedha za matumizi....baada ya hapo, we subiria yeye mwenyewe afanye maamuzi.
Ina Fanya kazi.Hii approach ni very probability it doesn't work like that....endelea kujidanganya
Kwa nini mkuuHii approach ni very probability it doesn't work like that....endelea kujidanganya
ha ha ha haungemalizia ujumbe huu umetujia kwa hisani ya Kitenge Maulid
ha ha ha ha unawezajikuta unawekeza mwisho wa siku hakuna kituEquation x wee nilijua wewe ni mutu ya hesabu,yani hesabu imelala kichwani..kumbe hata to calculate risk ni shida sana mkuu
ha ha ha haTatizo ni wabishi, wanaweza wasikuelewe.
Nakubaliana na weweKama unataka papuchi ya chap, hii njia ni very costly