Ushauri kwa mdau

Ushauri kwa mdau

Wakwibhala

New Member
Joined
Jul 17, 2022
Posts
1
Reaction score
1
Wakuu nina ndugu yangu Amesomea Ualimu Hisabati level ya Degree.G.P.A 3.3 mwajiliwa sekondari.Na amejiendeleza Sasa Ana masters ya Applied mathematics and computational science G.P.A 4.3 .Anaomba ushauri vyuoni hawezi kufundisha kwasababu ya G.P.A ya undergraduate.Je an anaweza kufundisha kwenye vyuo vya kati ,Veta,Au kufanya kazi kwenye mashirika ya Umma.Naomba kuwasilisha
 
Ana masters halafu anakuomba ushauri wewe usiye na masters?
Vichekesho hivi
 
Atafaa kuwa mkuu wa idara ya hisabati shuleni kwake.
Mshauri akomalie uhedmasta kama ana m3
 
Back
Top Bottom