Haya madini ya leo nimeyapenda niambukizepo na mimi basiUshauri namba moja naona kama ni wewe tu umeshindwa kuendana na unaokutana nao....yani umeshindwana tabia na wanaume watatu hapo kwa haraka haraka wewe ndio mwenye matatizo (japo kwa asilimia chache sana inawezekana hao wanaume watatu wote ndio wenye matatizo)
Ushauri namba mbili siungi mkono hoja...wanasema mkataa kwao mtumwa,mie sipakatai kwetu(asili yangu) ila sitaki kabisaaaaa kuja kuolewa achilia mbali kudate mwanaume wa kabila langu
Wanawake wa kikurya walioelimika hawatak kabisa kuskia hbr ya kuolewa na wanaume wa kabila lao...Ushauri namba moja naona kama ni wewe tu umeshindwa kuendana na unaokutana nao....yani umeshindwana tabia na wanaume watatu hapo kwa haraka haraka wewe ndio mwenye matatizo (japo kwa asilimia chache sana inawezekana hao wanaume watatu wote ndio wenye matatizo)
Ushauri namba mbili siungi mkono hoja...wanasema mkataa kwao mtumwa,mie sipakatai kwetu(asili yangu) ila sitaki kabisaaaaa kuja kuolewa achilia mbali kudate mwanaume wa kabila langu
Wanawake wa kikurya walioelimika hawatak kabisa kuskia hbr ya kuolewa na wanaume wa kabila lao...
Eti joanah naww ni kutoka kanda maalum? Kama utajibu ndio... Hv ni kipigo wanahofia au nn?
Upo bachelor?? je umeolewa baada ya kukaa geto kwa muda gani? Nijibu hapa kwanzaUshauri namba moja naona kama ni wewe tu umeshindwa kuendana na unaokutana nao....yani umeshindwana tabia na wanaume watatu hapo kwa haraka haraka wewe ndio mwenye matatizo (japo kwa asilimia chache sana inawezekana hao wanaume watatu wote ndio wenye matatizo)
Ushauri namba mbili siungi mkono hoja...wanasema mkataa kwao mtumwa,mie sipakatai kwetu(asili yangu) ila sitaki kabisaaaaa kuja kuolewa achilia mbali kudate mwanaume wa kabila langu
Yaani sio wewe tuHaya sasa kumbe sio mimi tu,,,,, kwani unavutaga na wewe sharwholder?
Namba 2 Kama ww sio msukuma ukiolewa na hawa watu utaelewa namaanisha nn tena ukute wale wakijijin utaisoma nambaUshauri namba moja naona kama ni wewe tu umeshindwa kuendana na unaokutana nao....yani umeshindwana tabia na wanaume watatu hapo kwa haraka haraka wewe ndio mwenye matatizo (japo kwa asilimia chache sana inawezekana hao wanaume watatu wote ndio wenye matatizo)
Ushauri namba mbili siungi mkono hoja...wanasema mkataa kwao mtumwa,mie sipakatai kwetu(asili yangu) ila sitaki kabisaaaaa kuja kuolewa achilia mbali kudate mwanaume wa kabila langu
Hahahaha najua unanitania leo umeshiba kweli nimepita sehemu km tatu hivi nakugongea ka like kwa hapa nikaona hebu niulizepo tu,,,Yaani sio wewe tu
Hamna hata sivuti...natania tu
ππππNamba 2 Kama ww sio msukuma ukiolewa na hawa watu utaelewa namaanisha nn tena ukute wale wakijijin utaisoma namba
ππππHahahaha najua unanitania leo umeshiba kweli nimepita sehemu km tatu hivi nakugongea ka like kwa hapa nikaona hebu niulizepo tu,,,
App haina emoji natamani ningekupigia makofi mengi,,,,, hebu jipigie makofi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] kwangu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sio msukuma...kumbe ni wasumbufu hawa wasukuma ukiachilia mbali ile tabia yao ya ushamba!