sidháni kama jamaa ni clever na hawajui waislamu, kama kweli wanampenda wangemwambia agombee ubunge kwani huko uwezekano wa kushinda ni mkubwa, sasa uraisi hatoshinda halafu, whats next for him kisiasa? anafikiri na kuamini zito kabwe anaweza kuamchia aongoze? ndiyo mwisho huo, kama kweli kuna uwezekano wa kushinda zito kabwe angeachia hiyo nafasi? i think the guy (mpina) is not smart na haangalii mbali anatumika kuijenga act kanda ya ziwa halafu watam-dump ...