Ushauri kwa Lowassa

Ushauri kwa Lowassa

Lowasa nakushauri sana uachane mapema na mbio zako za kuutaka uraisi.
Jina lako litakatwa mapema kabla ya fainali!! Ukiangalia mpaka sasa hivi umeshatumia hela nyingi sana na mda mwingi sana kwa ajili ya kujisafisha na kujijenga kwa ajili ya kuwania urais.

Kabla mambo yasijekuwa mabaya zaidi, ningekushauri haraka sana ondoa jina lak ktk kugombea uraisi na ukajiunge rasmi chama cha ACT-Wazalendo ambako mda mrefu umealikwa.

Kwa kufanya hivyo utakuwa umetoka na kundi kubwa la wana CCM na kuhamia huko..Na hata kama hutafanikiwa kupata uraisi safari hii lakini safari ijayo huenda ukafanikiwa.

Endapo utang`ang`ania CCM na jina lako lika katwa basi ndoto yako ya kuwa rais itakuwa imezimwa maishani na hata kama utaamia upinzani baada ya kutemwa hautang`ara tena, utakuwa kama akina Mrema!

Usiwafuate hao wapambe njaa akina Kingunge na wengine.

Hao wako kimaslahi zaidi wanataka kula hela zako tuu

Babu maumvi hafai kuwa Rais, kwani ana mapungufu mengi sana.Fisadi, afya mbovu, visasi, makundi, marafiki mafisadi. Mtu huyu kumpatia nchi ni kutosa nchi, kitu ambacho hakitatokea
 
Ninyi ndio bado mnamdanganya na kula hela za Lowasa…Unafikiri akipona huko NEC CCM atapona huku mitaani??Kumbuka huku mitaani kuna wana CCM wasiompenda ambao wanajua kiasi gani ali play ktk ufisadi na wasio CCM nao wanahasira nae vilevile…lakini kama unataka kula hela za huyo fisadi basi poa tu lakini nakuhakishia Lowasa hapiti
Amesahau yaliyomkuta kikwete 1995, Bilali 2000, data hazitamsaidia kwa ufisadi wake
 
Lakini na wewe si umuache agombee ,,atumie haki yake ya kidemokrasia ,,hela katumia za kwake .Lakini kama hapendwi au CC haimtamki jina litakatwa atarudi Monduli akae kwake tu sio issue lakini angalau atakuwa kajaribu.Huo ushauri wako ndio unamfanya yeye aobekane ana nguvu ,,kwasababu mnalitaja sana Jina lake and ToM awareness yake mnaiongezaaa,, Muacheni ajaribu kama akipigwa za uso akajipumzikie zake.
 
Nakuhakikishia, hata kila m-ccm angelichukua fomu, LOWASA ni kisiki cha mpingo. Mtajikwaa na kung'oka meno hatoki wala hakatwi. Huyo ndo rais wa ccm. Lowasa ndo ccm na ccm ndo Lowasa. Anayemchukia aondoke ccm amwachie mwenyewe. Hiyo ndo habari ya leo. Hao wanachukua fomu ili wampishe mwenye hicho kiti. Ni wapambe wa biarusi hao, wakiwa wengi harusi hunoga zaidi. Mark ma word

Na kweli wakijosea tu wakamtema EL sio siri utakuwa mwisho wa ccm wananchi waliowengi watachagua ukawa maana EL ameibeba ccm na ccm haina uwezo tena wa kumbeba mtu yeyote. Mkimweka EL hata baadhi ya wapinzani watampigia kura yeye sio ccm. Ngoja zianze safari za kuzunguka nchi nzima kutafuta wadhamini ndipo mtakapofahamu kwamba anakubalika na wengi.
 
Babu maumvi hafai kuwa Rais, kwani ana mapungufu mengi sana.Fisadi, afya mbovu, visasi, makundi, marafiki mafisadi. Mtu huyu kumpatia nchi ni kutosa nchi, kitu ambacho hakitatokea

Hivi kuna mtanzania mwenye afya bora hapa nchini, anyoshe mkono.
 
Lowasa nakushauri sana uachane mapema na mbio zako za kuutaka uraisi. Sababu kundi kubwa la viongozi wa CCM halikutaki, waliokushauri wamekudanganya.

Jina lako litakatwa mapema kabla ya fainali!! Ukiangalia mpaka sasa hivi umeshatumia hela nyingi sana na mda mwingi sana kwa ajili ya kujisafisha na kujijenga kwa ajili ya kuwania urais.

Kabla mambo yasijekuwa mabaya zaidi, ningekushauri haraka sana ondoa jina lak ktk kugombea uraisi na ukajiunge rasmi chama cha ACT-Wazalendo ambako mda mrefu umealikwa.

Kwa kufanya hivyo utakuwa umetoka na kundi kubwa la wana CCM na kuhamia huko..Na hata kama hutafanikiwa kupata uraisi safari hii lakini safari ijayo huenda ukafanikiwa.

Endapo utang`ang`ania CCM na jina lako lika katwa basi ndoto yako ya kuwa rais itakuwa imezimwa maishani na hata kama utaamia upinzani baada ya kutemwa hautang`ara tena, utakuwa kama akina Mrema!

Usiwafuate hao wapambe njaa akina Kingunge na wengine.

Hao wako kimaslahi zaidi wanataka kula hela zako tuu

Kwa ushauri huo nakuunga mkono ila huko ACT ujue haupo mtaji zaidi ya wafuasi atakaoingia nao. Pia ujue hicho chama kinasemekana ni tawi la ccm. Ccm nao sio wajinga hivyo. Watauagiza uongozi wa Act kumwekea masharti magumu yatakayomshinda kujiunga. Hata hivyo walishaanza. Mtendaji mkuu alishasikika akisema ili apokelewe kwenye chama chao lazima atangaze mali zote anazomiliki na upatikanaji wake. Wanaweza kumchezea kwa hilo tu hadi ikashindikana kujiunga.Ulilosahau ni kuwa umri wake nao umesogea sana. Hawezi kugombea tena baada ya miaka kumi hata Mungu angemweka hai. Ukawa ndio asahau kabisa na analijua hilo. Njia pekee aliyobakiza ni kusimama kama mgombea binafsi anaweza kubahatisha. Kama kuna chama chochote kingine kidogo chenye usajili wa kudumu hata kiwe na wanachama kumi tu hii ni fursa adimu kuongea na Edo kwani kitapata mtaji wa wanachama, wabunge, madiwani na fedha nyingi za ruzuku za uraisi, wabunge na madiwani na mungu akijalia kiingie ikulu.
 
LOWASSA HAKAMATIKI

Ikiwa mchakato wa kuchukua fomu unaedelea, ebu tutumie dakika chache kutafakari nguvu ya kila mgombea... Nguvu ya mgombea au mgombea mtarajiwa tunaweza kuijua kutokana na jinsi anavyoungwa mkono na wananchi, wanachama, wajumbe wa vikao mbalimbali, na viongozi kwa ujumla wao...

Mpaka sasa ni takriban wagombea 9 washatangaza nia, ebu sasa tuangalie idadi ya viongozi/wajumbe waliowasindikiza siku wanatangaza nia (Hasa Wenyeviti wa CCM Mikoa, WaNec, wabunge na wajumbe wa mkutano mkuu)....

1. Edward Lowassa.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~23 kati ya Mikoa 30
. Wajumbe wa Halmashauri Kuu (NEC)~286 kati ya 378
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa~1967/2600's..
. Wabunge wa JMT~168/357

2. Fredrick Sumaye.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa Halmashauri kuu (NEC)~0
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa~2
. Wabunge~0

3. Prof. Mack Mwandosya.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~2
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~4
. Wabunge~2

4. Mwigullu Nchemba.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~3
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~7
. Wabunge~4

5. Stephene Wassira.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~3
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~7
. Wabunge~3

6. Dr. Titus Kamani.. Waliohudhuria..
. Wenyeviti wa Mikoa~1
. Wajumbe wa NEC~2
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~3
. Wabunge~1

7. Prof. Muhongo... Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~0
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~2
. Wabunge~1

8. Makongoro Nyerere.. Waliohudhuria..
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~1
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~3
. Wabunge~2

9. Balozi Karume.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~0
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~2
. Wabunge~0

Mytake:... Sauti ya watu ni sauti ya Mungu.... Hii ndiyo safari ya Matumaini.........

Mkuu vipi kuhusu wajumbe wa kamati kuu, walikuwepo wangapi??

Mh! Hawa sindio 'WAKATA MAJINA' kabla ya kupigiwa kura? Sijui itakuwaje!!

Mnamwibia bure fedha Mzee wa watu Huyu hata mfanyeje hatapita Kamati kuu b'se wanajua kabisa wakimpitisha kamati kuu ana uwezo mkubwa wa kuhonga H/kuu na mkutano Mkuu believe me Lowasa hawezi kuwa Rais wa Tz nape Jana hawahitaji mtu wa kusafisha kwa Dodoki kwani muda hautoshi Mwambie Mzee kula ulichochuma Urais ngoma Nzito, anapoteza muda atakufa kwa pressure bure.
 
LOWASSA HAKAMATIKI

Ikiwa mchakato wa kuchukua fomu unaedelea, ebu tutumie dakika chache kutafakari nguvu ya kila mgombea... Nguvu ya mgombea au mgombea mtarajiwa tunaweza kuijua kutokana na jinsi anavyoungwa mkono na wananchi, wanachama, wajumbe wa vikao mbalimbali, na viongozi kwa ujumla wao...

Mpaka sasa ni takriban wagombea 9 washatangaza nia, ebu sasa tuangalie idadi ya viongozi/wajumbe waliowasindikiza siku wanatangaza nia (Hasa Wenyeviti wa CCM Mikoa, WaNec, wabunge na wajumbe wa mkutano mkuu)....

1. Edward Lowassa.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~23 kati ya Mikoa 30
. Wajumbe wa Halmashauri Kuu (NEC)~286 kati ya 378
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa~1967/2600's..
. Wabunge wa JMT~168/357

2. Fredrick Sumaye.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa Halmashauri kuu (NEC)~0
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa~2
. Wabunge~0

3. Prof. Mack Mwandosya.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~2
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~4
. Wabunge~2

4. Mwigullu Nchemba.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~3
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~7
. Wabunge~4

5. Stephene Wassira.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~3
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~7
. Wabunge~3

6. Dr. Titus Kamani.. Waliohudhuria..
. Wenyeviti wa Mikoa~1
. Wajumbe wa NEC~2
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~3
. Wabunge~1

7. Prof. Muhongo... Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~0
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~2
. Wabunge~1

8. Makongoro Nyerere.. Waliohudhuria..
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~1
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~3
. Wabunge~2

9. Balozi Karume.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~0
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~2
. Wabunge~0

Mytake:... Sauti ya watu ni sauti ya Mungu.... Hii ndiyo safari ya Matumaini.........

Hao si ndio aliwalipia nauli na posho?wasingepata posho na usafiri sidhani kama wangefika huko sheikhe amri abeid kaluta
 
Kwakweli bwana mjinga mm ckuungi mkono, kama kila mgombea angeshauriwa ajitoe je tunvekuwa na wagombea ccm,
na kupata ama kushindwa ni kawaida katika ushindan ndio maana inaitwa safari ya matumain
na siku zote ni bora kujari kuliko kukimbia.
Na pia Kwa sasa Mh anaonekana kuwa na kibali kwa watanzania kuliko wagombea wote je c watanzania tunaomuweka rais madarakan au ni hao viongoz wa ccm ndio wanaotuchagulia kiongoz?
 
Lowasa akipitishwa na ccm itakuwa ni mtaji mkubwa sana kwa upinzani, naaamini watanzania hawatafanya tena makosa kama waliyoyafanya miaka kumi iliyopita mtakumbuka Jk alikuwa anapendwa sana na wananchi lakini angalieni alipoipileka nchi kutokana na system iliyomweka madarakani hakuwa hata na guts ya kuwakemea sasa watu wale wale matajiri walio kwenye same network wanataka kumweka lowasa ni nini itakuwa hatma ya taifa la tanzania? Utapata wapi ujasiri wa kuwakaripia? Ukawa watapata advantage sana kama EL atasimamishwa kwa sababu watamwanika sana kwa tuhuma anazotuhumiwa nazo
 
Hata mimi naunga mkono kwa mtoa hoja..hela zako zinaliwa na wapambe na mwisho wa safari utabaki na ndoto yako ya "Safari ya matumaini"
 
Lowasa nakushauri sana uachane mapema na mbio zako za kuutaka uraisi. Sababu kundi kubwa la viongozi wa CCM halikutaki, waliokushauri wamekudanganya.

Jina lako litakatwa mapema kabla ya fainali!! Ukiangalia mpaka sasa hivi umeshatumia hela nyingi sana na mda mwingi sana kwa ajili ya kujisafisha na kujijenga kwa ajili ya kuwania urais.

Kabla mambo yasijekuwa mabaya zaidi, ningekushauri haraka sana ondoa jina lak ktk kugombea uraisi na ukajiunge rasmi chama cha ACT-Wazalendo ambako mda mrefu umealikwa.

Kwa kufanya hivyo utakuwa umetoka na kundi kubwa la wana CCM na kuhamia huko..Na hata kama hutafanikiwa kupata uraisi safari hii lakini safari ijayo huenda ukafanikiwa.

Endapo utang`ang`ania CCM na jina lako lika katwa basi ndoto yako ya kuwa rais itakuwa imezimwa maishani na hata kama utaamia upinzani baada ya kutemwa hautang`ara tena, utakuwa kama akina Mrema!

Usiwafuate hao wapambe njaa akina Kingunge na wengine.

Hao wako kimaslahi zaidi wanataka kula hela zako tuu

Lowasaa nilishakushauri na wapambe wako walinitukana na kunidharau…Narudia tena achana na uraisi ndani ya CCM…bakiza hizo hela ulizonazo amia ACT
 
Nakushauri kwa mwaka huu muachie tu Tingatinga manake hutomuweza kwa lolote si mentally wala physically.2025 Kama tutakuwa na uhai tutakuchaguwa.
 
Back
Top Bottom