Kwani bado umelala?Hapana, CCM sio wakususia uchaguzi, ndi watafurahi.
Lisu aingize timu, wabunge watakao patikana wakakiwashe bungeni, sauti zitasikika.
Wapambane ndani ya geti
Muacheni Mstaafu apumzike,kafikisha chama kipo imara na kimekua hapo kilipo ndio maana hao akina lisu na heche wametamani kugombea na kukiongoza.Tuliwaonya kuhusu Mbowe.
Nami naunga mkono hoja hii. Na ikiwezekana upitishwe mchango uitwe "Ndi! Ndi! .Ndi!" ili kuutofautisha na ule wa Tone! Tone! Lengo ni kuhakikisha wanafukuzwa HARAKA iwezekanavyoWafukuze G55 Mapema kabla hayajawa ya Lipumba kwa maalim seif kwa cuf.
Njia ya kuwafukuza wanachama.
Wafutwe kupitia matawi yao mmoja mmoja tena wiki hadi wiki. Njia hii itasaidia kulisambaratisha kundi hili
Vyenginevyo athari kubwa mbeleni.
Nimeamua kumpasaidia Lissu ili kupinga siasa za ulaghai kwa vijana hasa wa upinzani kwani wakiachiwa wanawasababisha matatizo makubwa vijana wanaopenda siasa
Wasiwe kama Lìpumba anayesimamia kuimaliza CUF.Muacheni Mstaafu apumzike,kafikisha chama kipo imara na kimekua hapo kilipo ndio maana hao akina lisu na heche wametamani kugombea na kukiongoza.
Na wao wapambane kukijenga vizazi vijavyo wakikute chama imara, wengine watamani kukiongoza kama wao si kukashifu viongozi waliopita ni ujinga
Kwenye kampeni akina heche na lema walivokua wanamtukana Mbowe,na yeye angekua na mawazo hayo angewafukuzaWafukuze G55 Mapema kabla hayajawa ya Lipumba kwa maalim seif kwa cuf.
Njia ya kuwafukuza wanachama.
Wafutwe kupitia matawi yao mmoja mmoja tena wiki hadi wiki. Njia hii itasaidia kulisambaratisha kundi hili
Vyenginevyo athari kubwa mbeleni.
Nimeamua kumpasaidia Lissu ili kupinga siasa za ulaghai kwa vijana hasa wa upinzani kwani wakiachiwa wanawasababisha matatizo makubwa vijana wanaopenda siasa
Hakuna atakayeweza kukijenga tena, kinaenda kugawanyika vipande kisha kupoteana.Muacheni Mstaafu apumzike,kafikisha chama kipo imara na kimekua hapo kilipo ndio maana hao akina lisu na heche wametamani kugombea na kukiongoza.
Na wao wapambane kukijenga vizazi vijavyo wakikute chama imara, wengine watamani kukiongoza kama wao si kukashifu viongozi waliopita ni ujinga
G55 ni genge la Mbowe, ndo wenye chama chao.... hawajakubali kupokonywa mali yao.Kwenye kampeni akina heche na lema walivokua wanamtukana Mbowe,na yeye angekua na mawazo hayo angewafukuza
Uongozi miezi 2 haijaisha mshaanza fukuzana
Mbowe ni kiongozi?G55 ni genge la Mbowe, ndo wenye chama chao.... hawajakubali kupokonywa mali yao.
Awafukuze ili siasa ziwe na heshimaKwenye kampeni akina heche na lema walivokua wanamtukana Mbowe,na yeye angekua na mawazo hayo angewafukuza
Uongozi miezi 2 haijaisha mshaanza fukuzana
Wawafukuze hawa mmoja mmoja kupitia matawi yao , anaanza mrema , siku ya 3 Catherine mpaka wote waisheHapana, CCM sio wakususia uchaguzi, ndi watafurahi.
Lisu aingize timu, wabunge watakao patikana wakakiwashe bungeni, sauti zitasikika.
Wapambane ndani ya geti
Chama kinachoamini demokrasia kilivumilia uhuru wa kusemana wakati wa kampeni za uchaguzi ndani ya chama, na uhuru huo ndio ulioubeba uongozi uliopo madarakani. Wakati ule tukajisemea kwamba hawa jamaa wakivuka uchaguzi wao salama watakuwa imara sana.Wafukuze G55 Mapema kabla hayajawa ya Lipumba kwa maalim seif kwa cuf.
Nyie ndio chama cha demokrasia?Wafukuze G55 Mapema kabla hayajawa ya Lipumba kwa maalim seif kwa cuf.
Njia ya kuwafukuza wanachama.
Wafutwe kupitia matawi yao mmoja mmoja tena wiki hadi wiki. Njia hii itasaidia kulisambaratisha kundi hili
Vyenginevyo athari kubwa mbeleni.
Nimeamua kumpasaidia Lissu ili kupinga siasa za ulaghai kwa vijana hasa wa upinzani kwani wakiachiwa wanawasababisha matatizo makubwa vijana wanaopenda siasa
Dhana hii ndio iliopelekea watoto wa kileo kuwatongoza mama zao kwa kuiga wazungukuwatongChama kinachoamini demokrasia kilivumilia uhuru wa kusemana wakati wa kampeni za uchaguzi ndani ya chama, na uhuru huo ndio ulioubeba uongozi uliopo madarakani. Wakati ule tukajisemea kwamba hawa jamaa wakivuka uchaguzi wao salama watakuwa imara sana.
Jambo la ajabu baada ya uongozi uliobebwa na agenda ya uhuru wa kuongea kushika hatamu, unashindwa kuwavumilia wengine ndani ya chama wanaoongea dhidi yao the same way kama wao walivyoongea
Chama kinachoamini demokrasia kilivumilia uhuru wa kusemana wakati wa kampeni za uchaguzi ndani ya chama, na uhuru huo ndio ulioubeba uongozi uliopo madarakani. Wakati ule tukajisemea kwamba hawa jamaa wakivuka uchaguzi wao salama watakuwa imara sana.
Jambo la ajabu baada ya uongozi uliobebwa na agenda ya uhuru wa kuongea kushika hatamu, unashindwa kuwavumilia wengine ndani ya chama wanaoongea dhidi yao the same way kama wao walivyoongea