Ushauri kwa Law School

Ushauri kwa Law School

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
21,772
Reaction score
35,771
Tendeni haki msitingishwe.

Kama mtu kafaulu apewe maksi zake.

Kama kafeli arudie mtihani no mercy!

Hakuna huruma, lazima mtu apate haki yake.

Msiogope siasa na wanasiasa simamieni miiko na taratibu zenu bila kusahau haki!!

Chapeni kazi taifa linawategemea!!
 
Hii ndio shule pekee iliyobakia nchini. Shule zilizobaki ni matakataka.
 
Tendeni haki msitingishwe.

Kama mtu kafaulu apewe maksi zake.

Kama kafeli arudie mtihani no mercy!

Hakuna huruma, lazima mtu apate haki yake.

Msiogope siasa na wanasiasa simamieni miiko na taratibu zenu bila kusahau haki!!

Chapeni kazi taifa linawategemea!!
Law school oyee.
 
Law school oyee
 
Nawaza kama demu wangu siku akimaliza chuo akaenda law school sijui atapita
 
Back
Top Bottom