Ushauri kwa Lara 1

Nakubaliana na Nelson Richard kuhusu lara 1, kuna wakati nilikuwa namfuatilia sana nikampoteza kati nazani alibadili picha and I was so attached to the blonde lara 1, ni muandishi mwenye kujiamini sana, ingawa saa nyingine ni ngumu kumuelewa kama ni hesabu za A-level huyu sio BAM ni Advanced Mathematics.

Uandishi wake ni mzuri sana hasa kufikisha ujumbe kwa jamii ambayo inahitaji watu wanaongea lugha yao.
 
Last edited by a moderator:
Isije ikawa sifa zote hizo ulizotoa ni ili umaproach!(unataka upewe tamu?)I advise lara 1 to watch far ahed
Duuhh, kila siku nasema sie WATZ akili yetu ipo chini. Katika kila jambo lazima fikra zipelekwa/zielekezwe chini. Ifike wakati tufikiri nje ya boksi.
 
Labda ni technic yake na huwa inamzalia matunda,Wanaume Hatufanani mkuu...
Tusifanye mambo kwa mazoea. Dunia imebadilika inakwenda kasi na inataka uwazi ili muda usipotee bure. Tutumie njia za haraka kufikisha ujumbe. Haya mambo ya kusifiana, kuimbiana kutumiana maua kama nyuki yanapoteza muda tu. Mface direct tu huku kuchelewachelewa mtakufa nayo moyoni
 
Mhh!! Hii kama initial old technique ya kumtokea dem. Wanasema "msifie kwanza" Stuka lara1 kabla hujaingizwa kwenye 18

Hamna bana jamaa anamkubali tu ungekuta hivyo PM siku nyingi kashamaliza.....ila kuna siku moja katika uzi wa Lara jamaa aliwahi kumwambia kwamba story zake azifanye business.
 

Point taken...
 
Duuhh, kila siku nasema sie WATZ akili yetu ipo chini. Katika kila jambo lazima fikra zipelekwa/zielekezwe chini. Ifike wakati tufikiri nje ya boksi.

Sio watanzania tu wanawaza ngono, ni dunia nzima.mfano uingereza ni kama robo ya tz kwa eneo lakini wana population ya zaidi ya mara 3 ya wtz,ukitafuta ratio ni kama wanawaza zaid ya mara 10 ya watz.
Na kwa hili ndio maana tumezaliwa, tutazaa na kizazi kitaendea
 
Pia kikubwa zaidi namshauri agombee urais mwaka huu, kwa ushawishi alionao atashinda kwa kishindo

Kabla ya huko tumuangalie huyu lara1 ana angalau ka udc..hahaha making your day.
 
Last edited by a moderator:
Shakashaka haikamati mwizi! mdau kamsifia kwa posts zake ipo wazi kama ni suala la kumtokea hayo ni mengine sidhani kwa ueledi wa lara anaweza kufungwa kama nyepesi kama hii.
Tumuheshimu mtoa post kwa kutoa pongezi zake kwa lara.
 
Yes hata mimi namkubali lara1,lara croft the jf tomb raider hahahahahaha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…