Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
MMmmmmmmmh! Kumekuchaaaa!
I would love if you express it more!
MMmmmmmmmh! Kumekuchaaaa! Nashukuru mdau kwa UFAGIO wa nguvu ulionipaaa. Na ahidi kuyafanyia kazi mawazo yako. I am deeply humbled umechukua muda wako adimu na bundle lako kusema chochote juu yangu. Be blassed mkuu.
NA NAWASHUKURU WATU WOTEEEE MNAO SHIRIKI KWENYE EITHER KUSOMA AU KU COMMENT POST ZANGU. I really appreciate from the bottom of my heart. Mbarikiwe sanaaaaa.
Na wale ninao watukanaga msifikirie kwamba maybe i hate you or anything personal! Ile ni ajali tu kazini. Mji conside COLLATERAL DAMAGE. Unaweza kushangaa leo nakutukana, kesho nalike post yako, kesho kutwa na ku quote kasoro mtu mmoja tu ndo tutakuwa ENEMIES FOR LIFE humu JF because he crossed the line. Ila wengine mchukulie mambo ya binadamuuuu tu.
NAWAPENDA WOOOOTE KASORO HUYO MTU MMOJA WHOM I HATE WHITH A PASSION AND DEVOTION.
Mama mchungaji anakukumbusha kuwa Yesu alisema samehe saba mara sabini na wabarikini wanaowaudhi............lol
Pia kikubwa zaidi namshauri agombee urais mwaka huu, kwa ushawishi alionao atashinda kwa kishindo
Ua blessed,
Mhh!! Hii kama initial old technique ya kumtokea dem. Wanasema "msifie kwanza" Stuka lara1 kabla hujaingizwa kwenye 18lara 1 unaitwa huku umefagiliwa huku, fursa hiyo mama........... Hongera sana mumy nami namuunga mkono mtoa mada kwa kweli uko juu ingawaje falsafa yako ni ngumu kueleweka kwa wengi.
Mhh!! Hii kama initial old technique ya kumtokea dem. Wanasema "msifie kwanza" Stuka lara1 kabla hujaingizwa kwenye 18
Wala hakuna. Ila si busara kuwafool watu wengi hivi. Pia It's an old teknik na process yake ni ndefu sana hadi ule mzigoIla kwani kuna tatizo mkuu...?
Wala hakuna. Ila si busara kuwafool watu wengi hivi. Pia It's an old teknik na process yake ni ndefu sana hadi ule mzigo