Nawasalimia ndugu zanguni,mm nina mdogo wangu ambae nimeamza kumsomesha akiwa darasa la tatu mpaka la saba akafaulu nikampeleka shule moja ya private hapo Dar shule ya Mbezi high.Sasa amemaliza kidato cha nne hakufaulu ila amepata 4 ya 31 kwa maana yakuwa na D nne na F tatu.Alikuwa anachukuwa mchepuko wa biashara na akapata hicho alicho kipata
Sasa kumrudisha shule sitaki nae hataki wala masuala ya kurist hayataki kulingana na suala la uchumi lilivyo.Kumbuka yeye ni mtoto wakike huwa wanakata tamaa mapema.Ninachoomba ni ushauli naweza mpeleka chuo?je anaweza soma course gani na wap ?nisaidieni jamani nakosa la kufanya.Nitashukuru kwa ushirikiano wenu.