Ushauri kwa huyu ex-wangu

Haha hha kila mtu anaakili zake Daudi Mchambuzi
 
Shetani tu alimpitia, bado anakupenda sana, nakushauri umuoe
 
Sio binti tena ni mama.
 
Ww ucjejidanganya kumrudia.... Utajuta huyo anakuganda sasa baada ya kuona Upo njema kiuchumi na akihtaji pesa anapta..... Ndo mana Wakat akila goodtime na Mchiz alikuwa hakuchk... Chekecha Akil babu........ Kata mawasiliano anaweza kukuharibia Maisha be care.... Alichagua Kuwa njiwa kwanin ataman kuwa Ng'ombe anayekamuliwa!... Af Uczan ukimchkua Mchiz wake atamwacha! Thubutuu.... Mwambie hawez pata vyote pwani na bara....
 
Sawa sawa mkuu
 
Akili zimeshaanza kuja
Bila shaka utafanya maisha yako kuwa ya thamani mkuu. Tafuta hela kwa nguvu zako zote utapata mwanamke mzuri tu mwenye upendo wa dhati, anayejitambua na kuthamini mahusiano yenu, achana na huyo kiruka njia atakutesa maisha yako yote. Kuna wakati flani huwa nakuwa katili kabisa kuhusiana na hawa wadada wanaosumbua sumbua hawa( katili kbs)
 
HII nyepesi kumeza Mkuu pamoja sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…