Yaani kuna post unasoma unahisi kama vile sinema za bongo nini sijui!! Kwa mwanaume mkamilifu, msomi tena kapitia hadi mafunzo ya jeshi. Zero aiseee, ni uboya wa kupindukia. Half kesho atakuja kuomba ushauri mkwe anatiwatiwa nje ya ndoa yake huyuhuyuKUNA kila chembe za ukweli
Lakini si umeelewaaMahali - Mahari
Yaaaap ili wakati mwingine dogo uwe care, kwa ushaur ni hivi ww angalia moyo wako kama bado wampenda mrudieLakini si umeelewaa
Ngumu kumeza hii mana mmmmmNi ngumu sana kusema No wakati bado unampenda hata kama alikufanyia mabaya yapi so fanya vile moyo wako unapenda
Unampenda bado kabisa ila jipe muda kwanza wacha mambo yatokee sio yeye akuforceNgumu kumeza hii mana mmmmm
Ngangafuuu hiiKijana inavyoelekea bado unampenda huyo binti ndo mana unaendelea kumuhudumia kwa kumtumia pesa as if hana mume kumbe ni mke wa mtu.
Yaani yupo kwenye ndoa lakini pesa za matibabu na matumizi mengine unatoa wewe!!!!!!
Ama kweli kijana umekufa na kuoza kwa huyo mrembo,
Muoe tu hakuna namna!!
Kuwa uyaoneNimependa sana ulipokuwa gentleman kumsaidia.
Maana anaona kama ukarimu wako ni kama bado unataka kurudiana nae.
Mkuu hapo move on ila usike chuki kwa ex yeyote yule.
Sawa mkuuKuwa uyaone
Usijikallif nafasi yako kijana muoe tuuuu!!Ngangafuuu hii
Usijikallif nafasi yako kijana muoe tuuuu!!Ngangafuuu hii
Usijikallif nafasi yako kijana muoe tuuuu!!Ngangafuuu hii
Kaisha jifunguaaa mtoto mkuuUsijikallif nafasi yako kijana muoe tuuuu!!
Kisasi kivipi mkuuSubiri azae na ww ulipize kisasi