Wazo lako zuri sana Mkuu ntalifanyia kaziKatika jambo ambalo mtoa mada umeonesha ukomavu ni kumsaidia alipopatwa na shida ya kifedha aidha kwa sababu ya mapenzi ya dhati uliyokuwa nayo kwake ama nyinginezo,
ila suala la kurudiana nae linahitaji uamuzi wa dhati kutoka moyoni si ati anakuganda, jiulize je bado unampenda kama mwanzo? Je uko tayari kuishi naye? kumbuka kisheria bado ni mke wa mtu, kutomjali kama unavyo eleza hakuondoi uhalali wa kuwa mume wake, na inaonekana angekuwa anamjali asingekuwa anakuganda. (Akili za kuambiwa changanya na zako - in JK voice)
Weeeeeeee cjui wapoje hawa kwenye neema tu ndio utawaona kikichacha tu wanachapa mguu kikichacha tena walikoenda hlf hku walikotoka ikawa neema wanarudi huwa nakereka sana mwanaume akikubali kumrudia mwanamke aina hii mambo yangekua poa unadhani angemtafuta jamaa? wanaume hatuna kwere unamchukua mwanamke hana elimu yoyote hana kazi yoyote unampenda unamhudumia kwa moyo mmoja bila masimango na huenda ikawa kaja na watoto 2 alizaaga hko wanaume huwa tunalea watoto fresh kabisa ss hii story igeuze upande wa pili km ulivyosema mtoa mada ndio utaona balaa lake mi siwapendi wanawake!Ustaarabu na uvumilivu wa maisha tunayo sisi wanaume ndio maana tunaweza kuishi na mwanake asie na kazi ata maisha yote, sasa geuza hii story upande wa pili uone balaa lake
[emoji13] [emoji13] [emoji13]kwa iyo utamlisha boom soma do go
Kama huna hisia naye achana naye huko nikujitafutia matatizo pia kumbuka huyo mke wa MTUHisia kwake sina kabisa ila yeye kanigandaa
Okay....Mkuu pamojaKama huna hisia naye achana naye huko nikujitafutia matatizo pia kumbuka huyo mke wa MTU
Huu ni ukweli kabisaUstaarabu na uvumilivu wa maisha tunayo sisi wanaume ndio maana tunaweza kuishi na mwanake asie na kazi ata maisha yote, sasa geuza hii story upande wa pili uone balaa lake
KWAni Mkuu nilifanya makosa kumsaidia mtu helaWewe mwenyewe ndio umemshawishi aachike, muoe.... Kwanini ulikua unampa hela mke wa mtu... Unazingua
Kama kuna ukweli vileeeKupenda kwengine kwa kijinga!!! Yaani kaka kabisa unataka kutuambia hujui cha kufanya hapo?
Anakutumia huyooo...
Huwezi msaidia Mke wa mtu kwa siri, na ukijua mlikua wapenzi. Huyo demu unampenda, acha kuzingua... Wewe ndio chanzo.. Ulipompa pesa alianza kumdharau mumewe na kukuona wewe ndiye unayemthamini.... Chanzo ni wewe! OaKWAni Mkuu nilifanya makosa kumsaidia mtu hela
Heeeee.. nao ni ushauriHuwezi msaidia Mke wa mtu kwa siri, na ukijua mlikua wapenzi. Huyo demu unampenda, acha kuzingua... Wewe ndio chanzo.. Ulipompa pesa alianza kumdharau mumewe na kukuona wewe ndiye unayemthamini.... Chanzo ni wewe! Oa
KUNA kila chembe za ukweliYaani ulikuwa na girlfriend akakusaliti kaenda katiwaa weeee hadi kajazwa mimba, bado anarudi kwako unapoteza muda wako kumsikiliza kwa kigezo cha kwamba eti ulikuwa unampenda saana! Kuwa mwanaume mkuu, achana na mambo ya kijinga, tafuta hela ujijenge kimaisha, mwanaume gani huna misimamo? Unachukua pesa zako kuhudumia mimba ya mwanaume mwenzio!!? Ningeweza kumsaidia kama simjui na hatujawahi kuwa na mahusiano labda. Vijana mna kazi ya ziada. Cheka na nyani uvune mabua