Nilijua tu , haraka haraka zile za makundi mbalimbali wengine wakijiita wanaharakati alikuwa ni CDM tu. Afadhali sasa mmejitokeza wazi na kuonesha hizia zenu kuwa Dr Ulikuwa alikuwa akiyafanya hayo kwa Maslahi ya Chama. Hivi watanzania wajinga kiasi gani watakaochagua chama cha siasa kinachopandikiza chuki miongoni mwa wananchi wake kama CDM?Wana JF,
Nimefikiria sana juu ya mustakabali wa Dr. Ulimboka mara Mungu atakapomjalia afya njema na akarejea nyumbani.
Japo sijui msimamo wake binafsi na familia yake, reaction ya serikali (badala ya kujibu hoja) ya KULIFUNGIA KWA MUDA USIOJULIKANA GAZETI LA MWANAHALISI lililofichua mpango mzima (na wahusika wakuu) wa kukamatwa kwake,kuteswa na hatimaye kutupwa katika msitu wa pande wakidhani angekufa tu kunadhihirisha mambo mawili makubwa.
Mosi serikali ndiyo iliyohusika na unyama aliofanyiwa Ulimboka;
La pili, kwakuwa hajafa till now,hayuko salama.
Ushauri:
Hukohuko aliko,arejee maelezo yake juu ya unyama aliofanyiwa kwa undani na ufasaha na yahifadhiwe kwenye formats mbalimbali na yasambazwe kwenye vyombo vyote vya habari (vya ndani na nje) kwa ajili ya kumbukumbu. Na mara tu atakaporejea nyumbani afanye press conference juu ya tukio lake na pia kutangaza kuacha kazi serikalini.
Kama anaweza siasa ajiunge na chama cha upinzani. Kwenye uchaguzi ujao atapata kura za kishujaa.
Wana JF mnasemaje?
Mhhhh! hilo jina lako nikimkumbuka na Elungata kwenye vitabu vya Kipelelezi vya Musiba nadhani kikosi cha kisasi UNANITISHA!!!!
Tutaongea tutakavyo lakini hii serikali siyo ile aliyotuachia Julius Nyerere. Nyerere asingemuua Kombe. Serikali za kifisadi ndizo zinazoweka killer squads na serikali ya Kikwete ni mojawapo. Na Vincent juzi alitukumbushia kumbe hata Nyerere mlimuwahisha. Siwezi kutetea serikali hii nikiwa na akili timamu.Ongeeni mtakavyo lakini huyu jamaa suala lake halina uhusiano na serikali na hakuna serikali inayoweza kufanya mambo kizamani hivyo kama lengo ilikuwa ni kumuua. Huyu ni mhujumu na asubiri kuchukuliwa hatua kwankufanya mgomo usio halali na kusababisha kuzorota kwa huduma na watu wasio na hatia kufa. Mnaonukuu Mwanahalisi hamjui kwa nini imefungiwa?
Kwanza ni upotoshaji kudai ni mtumishi wa serikali. Lakini anatakiwa atakapopata afya njema, nasi tunamuombea, afikishwe mahakamani na ajibu mashitaka ya uhujumu uchumi na mauaji ya raia wasio na hatia. Halafu afunguliwe mashitaka kwa kuisingizia na kuidhalilisha serikali wakati kinachoitwa unyama kimefanywa kwa mambo yake binafsi.
Hawezi itisha press conference coz swala lipo mahakamni,pili afanyi kazi serikalini.
Mbopo upo dunia nyingine. Serikali imekubali wazi wao ndiyo waliofanya unyama ule kwa Ulimboka mpaka wamefungia gazeti liloweka bayana kila kitu ila kwa ufupi tu, kama wangetaka ukweli zaidi Serikali wangeenda mahakamani ndiyo ungeona simu ya Pinda ikiwasiliana na J.K na Rama. Tigo wamefukuza wafanyakazi ina maana taarifa zile ni za Kweli tupu.
Ulimboka anyooshe maelezo hukohuko akija hapa aingie free na aishi freely
just a name i liked,ukichukulia kitabu cha KIKOMO ni moja ya vitabu vya mwanzo kabisa kuvisoma katika uhai wangu na nilikua darasa la tatu.
Ooooops you have way to irritate. I can see why people in Libya could sodomise Ghadafi with a knife. It is obvious because Ghadafi was thinking differently from the people. Trust me you fit that profile..the question will be is it worth it when it comes to you? Remember what comes around goes around.
Tutaongea tutakavyo lakini hii serikali siyo ile aliyotuachia Julius Nyerere. Nyerere asingemuua Kombe. Serikali za kifisadi ndizo zinazoweka killer squads na serikali ya Kikwete ni mojawapo. Na Vincent juzi alitukumbushia kumbe hata Nyerere mlimuwahisha. Siwezi kutetea serikali hii nikiwa na akili timamu.
wewe ktk watu wachache wenye alama za ugaidi ni mmoja wapo kama ni kaka yako katendwa hivi sidhani kama ungalitamka hayaKwanza ni upotoshaji kudai ni mtumishi wa serikali. Lakini anatakiwa atakapopata afya njema, nasi tunamuombea, afikishwe mahakamani na ajibu mashitaka ya uhujumu uchumi na mauaji ya raia wasio na hatia. Halafu afunguliwe mashitaka kwa kuisingizia na kuidhalilisha serikali wakati kinachoitwa unyama kimefanywa kwa mambo yake binafsi.
Ukweli wa kujiunga na CDM? tehe tehe tehe.naunga mkono hoja akificha yatamkuta ya mwakyembe....ukweli ndio utakaomuweka huru