hii ya kwako ni kali mkuu wangu,hata MKUU WA MAFIA hakutumia lugha kali hivi kukanusha kitendo!Kwanza ni upotoshaji kudai ni mtumishi wa serikali. Lakini anatakiwa atakapopata afya njema, nasi tunamuombea, afikishwe mahakamani na ajibu mashitaka ya uhujumu uchumi na mauaji ya raia wasio na hatia. Halafu afunguliwe mashitaka kwa kuisingizia na kuidhalilisha serikali wakati kinachoitwa unyama kimefanywa kwa mambo yake binafsi.
Kwani kuna jipya la kusikia kutoka kwa uli?si alitekwa,akateswa na kutupwa pande na mtu anaedai anaitwa rama wa ikulu,KUNA JIPYA GANI TENA?
Au wakati wanamteka walikua wanamhadithia na life history zao na za family zao?.
Yaani jinsi watu wanavyospin hii issue utadhani ni bonge la issue.
Ooooops you have way to irritate. I can see why people in Libya could sodomise Ghadafi with a knife. It is obvious because Ghadafi was thinking differently from the people. Trust me you fit that profile..the question will be is it worth it when it comes to you? Remember what comes around goes around.Kwanza ni upotoshaji kudai ni mtumishi wa serikali. Lakini anatakiwa atakapopata afya njema, nasi tunamuombea, afikishwe mahakamani na ajibu mashitaka ya uhujumu uchumi na mauaji ya raia wasio na hatia. Halafu afunguliwe mashitaka kwa kuisingizia na kuidhalilisha serikali wakati kinachoitwa unyama kimefanywa kwa mambo yake binafsi.
Wana JF,
Nimefikiria sana juu ya mustakabali wa Dr. Ulimboka mara Mungu atakapomjalia afya njema na akarejea nyumbani.
Japo sijui msimamo wake binafsi na familia yake, reaction ya serikali (badala ya kujibu hoja) ya KULIFUNGIA KWA MUDA USIOJULIKANA GAZETI LA MWANAHALISI lililofichua mpango mzima (na wahusika wakuu) wa kukamatwa kwake,kuteswa na hatimaye kutupwa katika msitu wa pande wakidhani angekufa tu kunadhihirisha mambo mawili makubwa.
Mosi serikali ndiyo iliyohusika na unyama aliofanyiwa Ulimboka;
La pili, kwakuwa hajafa till now,hayuko salama.
Ushauri:
Hukohuko aliko,arejee maelezo yake juu ya unyama aliofanyiwa kwa undani na ufasaha na yahifadhiwe kwenye formats mbalimbali na yasambazwe kwenye vyombo vyote vya habari (vya ndani na nje) kwa ajili ya kumbukumbu. Na mara tu atakaporejea nyumbani afanye press conference juu ya tukio lake na pia kutangaza kuacha kazi serikalini.
Kama anaweza siasa ajiunge na chama cha upinzani. Kwenye uchaguzi ujao atapata kura za kishujaa.
Wana JF mnasemaje?
Kwanza sheria za uhujumu uchumi zilishafutwa na akina Chenge enzi za Mkapa. Waliosababisha mauaji ya raia ni watawala elitists ambao wanajipangia mishahara mikubwa na marupurupu bila kujali kama hospitali zetu zina vifaa vya kutosha na madaktari wanafanya kazi katika hali gani. Sote tunajua serikali ya Kikwete ina umafia. Jibuni kwanza shutuma zilizotolewa na Mwanahalisi ndipo tujue kama kweli serikali imezingiziwa na kudhalilishwa. Kuna mtu kataja hapa mfano wa Gadafi na Mkuu wa Mafia. Serikali yenu is not too far from that truth.Kwanza ni upotoshaji kudai ni mtumishi wa serikali. Lakini anatakiwa atakapopata afya njema, nasi tunamuombea, afikishwe mahakamani na ajibu mashitaka ya uhujumu uchumi na mauaji ya raia wasio na hatia. Halafu afunguliwe mashitaka kwa kuisingizia na kuidhalilisha serikali wakati kinachoitwa unyama kimefanywa kwa mambo yake binafsi.
just a name i liked,ukichukulia kitabu cha KIKOMO ni moja ya vitabu vya mwanzo kabisa kuvisoma katika uhai wangu na nilikua darasa la tatu.Mhhhh! hilo jina lako nikimkumbuka na Elungata kwenye vitabu vya Kipelelezi vya Musiba nadhani kikosi cha kisasi UNANITISHA!!!!